Nilizalishwa na kudhalilishwa

Nilizalishwa na kudhalilishwa

Wakati ule mnatomba-na hadi ukapata mtoto hujuka kutuomba ushaur leo mumemwagana ndo unataka ushaur

LONDON BOY
Beira umesha kua mkubwa sasa hivi unajua baya na jema punguza ukali wa maneno halafu sioni kosa la huyu Dada mpaka umjibu hivyo bora kukaa kimya mkuu
 
Usithubutu kurudiana na mtu uliyeachana naye kwa visa na muda mrefu. Nimeshuhudia wengi wakijuta. Tuna msemo kikwetu unasema Hivi "shoka shoka ikashokelaga'ingi" yaani, rudia rudia hatimaye huzoa na mengineyo.
Umesema hatimaye uliikubali hali, Sasa tamaa ya nini tena?!
 
Huna haja ya kumuumiza maana hutakiwi kulipa baya kwa baya, jifunze kusamehe na haijalishi uliumizwa kwa kiasi gani! Pengine huo ni mtihani uliopewa na kipimo ili baadae uje upate hesabu nzuri mbinguni! Mshinde shetani, akirudi mkaribishe kwa upendo, mwambie nimekusamehe maana ulikuwa hulijui utendalo, nakwambia atakupenda kwa kiasi ambacho hukuwahi kukiwazia, binadamu huwa tunakosea padogo tu kwa kukosa maarifa, yaani huyo akijileta usali kabisa maana wewe pekee ndo umeonekana kuwa wa dhamani kwake! Na akija mwambie nataka ndoa kabla ya yote.
Aiseee huu ujinga usifanye kabisaaaa,malipo ni hapahapa dunian hata yesu alisema ukipigwa kulia piga kushoto..so ukimwaga ugali na mwaga mbona hakuna msamahaa nae aisome namba aiseee ajue how it feels thou maumivu yatakua hayafanan
 
Tatizo hiki kizazi kimekuwa cha watu wanaojipenda wenyewe.

Wakinadada pia wanaume wanapenda kupata kile kinachofurahisha mioyo yao. Tatizo sio kila kinachofurahisha moyo wako ndio hitaji lako/kitakufaa.

Mwanamke anamtaka Joni, coz john ni mrefu... Na sio kwakuwa joni ni MTU anayemuheshimu any atakayefaa kuwa baba Wa watoto na Mme bora.

Joni anampenda maria kwa kuwa maria ana shape kama coca cola.. Sio kwa kuwa maria ndiye mtu sahihi kusimamia familia yake..

Maria anataka mtoto kwa kuwa watoto ni fashion.. Au.anazaa na jumbe kwa kuwa jumbe ni mpemba nywele za mtoto zitatereza.. Mbaya hata akishazaa bado anaamini awe anauwezo wa kumlea mtoto au hana uwezo ...ni lazima mtoto akae nae yeye..

Kwann (akae na mtoto)? Kwa kuwa yeye ni mama. As if kuwa mama kunamfanya naturally awe mlezi bora. (Self entitlement!!! ) Mungu Atusaidie.

Kama wengi tungejua ...watoto sio trophies tungekuwa na huruma. Kwa kiburi chetu leo tunaharibu future yooote ya watoto wetu huko.mbeleni. upendo ni kitu kikubwa...na zaidi upendo Wa kweli haukufungi wala haukufanyi mtumwa.

Upendo wa mama ni pamoja na kujua when to.let her kids go. Akapate kilicho bira zaidi ya kile anachoweza kutoa.

Katika Uzi huu..nawaasa wote. Msije mkarudiana kwa sababu ya mtoto. Mkaona kama mnamsaidia.. mtamuumiza mno in the longrun.

Kuna uwezekano kwa kuwa mtt amehodhiwa na mama jamaa anaona arudishe majeshi ili kupata ukaribu na MTT.. Na sometimes mnaweza mkajivuta mpaka mkaoana..tatizo kama hakuna msukumo Wa pendo.. MTT akishajitegemea tu mnaanza kuomba mfe.

Na trust me..watoto ni binadamu wadogo wasiokuwa na uzoefu tu..ila wanauelewa. Watapick viashiria vya uwepo wenu..kama Furaha haipo huenda wakawachukia ninyi..if you are lucky.. Au wakajichukia wao for being a reason nyie mlikuwa hamna Furaha. Au both.

NB. Kuzaa na mtu ni uamuzi mkubwa sana. Swali langu huwa ni Je, ni wangapi huwa wana communicate nia ya kutaka kuzaa na MTU?! Wanajadiliana na kukubaliana?!

Selfless people don't just get pregnant...kisha wanakuextort uwaoe maana wanajua you love your kids.. Kisha una abandon every little good plan you ever had in your life. Halafu wanaexpect you have to be happy.. No wonder wanaume wanakufa na magonjwa ya.moyo na.misongo ya mawazo.

MUNGU Atusaidie. Tuyashinde.Haya.

Amina
 
Labda kama ningelikuwa siwajui wanawake ningelikupa ushauri nini cha kufanya, lakini wanawake akili zake sijui huwa mnazipeleka wapi mnajifanya mna huruma kuliko mama huruma mwenyewe. Wazazi huwa hawatengani, hizo hasira ulikuja nazo hapa sijui unakuja kuomba ushauri jamaa yupo humu humu anakusoma tena atakuja kwa kwa nguvu zote, utamsamehe na maisha yataendelea kama kawaida... wanawake ni viumbe dhaifu.
Lete tu ushauri wako, unatujua sawa lakini si wote
 
Labda kama ningelikuwa siwajui wanawake ningelikupa ushauri nini cha kufanya, lakini wanawake akili zake sijui huwa mnazipeleka wapi mnajifanya mna huruma kuliko mama huruma mwenyewe. Wazazi huwa hawatengani, hizo hasira ulikuja nazo hapa sijui unakuja kuomba ushauri jamaa yupo humu humu anakusoma tena atakuja kwa kwa nguvu zote, utamsamehe na maisha yataendelea kama kawaida... wanawake ni viumbe dhaifu.
Sio wote n dhaifu,na hiyo kauli ya wazaz hawatengan ifute acha kukariri mambo huwa wanaachana kabsaa sio kutengana tua
 
Huna haja ya kumuumiza maana hutakiwi kulipa baya kwa baya, jifunze kusamehe na haijalishi uliumizwa kwa kiasi gani! Pengine huo ni mtihani uliopewa na kipimo ili baadae uje upate hesabu nzuri mbinguni! Mshinde shetani, akirudi mkaribishe kwa upendo, mwambie nimekusamehe maana ulikuwa hulijui utendalo, nakwambia atakupenda kwa kiasi ambacho hukuwahi kukiwazia, binadamu huwa tunakosea padogo tu kwa kukosa maarifa, yaani huyo akijileta usali kabisa maana wewe pekee ndo umeonekana kuwa wa dhamani kwake! Na akija mwambie nataka ndoa kabla ya yote.
Ana mke na watoto
 
Kasema alizalishwa, hajazaa.
Kuzalishwa ni kwa lazima Bila hiari yake.
Kakamuliwa hata kama lilikuwa hamna kitu tumboni akajikuta kimekuja automatically
Umejitahidi sana kutoa tafsiri ya neno kuzalishwa ,asante nakupa 0%
 
Unawaza kulipa kisasi elewa unajiwekea miiba njia unayopita peku..! Why usimkaushie hujui saikolojia huyo mtendee mema mpende ila usimpe nafasi tena..! Siku Mungu anakupa mwenzako ataumia mno..!
 
Mkuu pole sana kwa kilicho kutokea naamini uliumia sana hasa matusi na kejeli zake ni bora angeondoka kimya kimya ushauri kwangu sasa.
Ujue yule sio Mme wako ni mzazi mwenzio tu na sijui kama mlipanga kuzaa au ilitoke tu baada ya penzi kukolea,Mkuu kama una maisha yako usijaribu kurudi nyuma naamini tena utakuja kujutia uamzi wako sisi mwanaume hua tunatamaa sana amekuona umependeza ameanza kujileta kama ni mtoto mwambie amlee tu maana ni damu yake ila wewe kaa mbali na huyu kabisa
 
Mtoto isiwe kigezo,kwani ambao baba zao walifariki wakiwa wadogo wamelelewaje...sion umuhimu WA mtu ambaye hakuitambua thaman ya mzaz mwenzie wala kuthamin damu yake kwa kipnd hicho af Leo hii anamhitaj tenaa
 
Usithubutu kurudiana na mtu uliyeachana naye kwa visa na muda mrefu. Nimeshuhudia wengi wakijuta. Tuna msemo kikwetu unasema Hivi "shoka shoka ikashokelaga'ingi" yaani, rudia rudia hatimaye huzoa na mengineyo.
Umesema hatimaye uliikubali hali, Sasa tamaa ya nini tena?!
Hamna tamaa hata chembe
 
Tatizo hiki kizazi kimekuwa cha watu wanaojipenda wenyewe.

Wakinadada pia wanaume wanapenda kupata kile kinachofurahisha mioyo yao. Tatizo sio kila kinachofurahisha moyo wako ndio hitaji lako/kitakufaa.

Mwanamke anamtaka Joni, coz john ni mrefu... Na sio kwakuwa joni ni MTU anayemuheshimu any atakayefaa kuwa baba Wa watoto na Mme bora.

Joni anampenda maria kwa kuwa maria ana shape kama coca cola.. Sio kwa kuwa maria ndiye mtu sahihi kusimamia familia yake..

Maria anataka mtoto kwa kuwa watoto ni fashion.. Au.anazaa na jumbe kwa kuwa jumbe ni mpemba nywele za mtoto zitatereza.. Mbaya hata akishazaa bado anaamini awe anauwezo wa kumlea mtoto au hana uwezo ...ni lazima mtoto akae nae yeye..

Kwann (akae na mtoto)? Kwa kuwa yeye ni mama. As if kuwa mama kunamfanya naturally awe mlezi bora. (Self entitlement!!! ) Mungu Atusaidie.

Kama wengi tungejua ...watoto sio trophies tungekuwa na huruma. Kwa kiburi chetu leo tunaharibu future yooote ya watoto wetu huko.mbeleni. upendo ni kitu kikubwa...na zaidi upendo Wa kweli haukufungi wala haukufanyi mtumwa.

Upendo wa mama ni pamoja na kujua when to.let her kids go. Akapate kilicho bira zaidi ya kile anachoweza kutoa.

Katika Uzi huu..nawaasa wote. Msije mkarudiana kwa sababu ya mtoto. Mkaona kama mnamsaidia.. mtamuumiza mno in the longrun.

Kuna uwezekano kwa kuwa mtt amehodhiwa na mama jamaa anaona arudishe majeshi ili kupata ukaribu na MTT.. Na sometimes mnaweza mkajivuta mpaka mkaoana..tatizo kama hakuna msukumo Wa pendo.. MTT akishajitegemea tu mnaanza kuomba mfe.

Na trust me..watoto ni binadamu wadogo wasiokuwa na uzoefu tu..ila wanauelewa. Watapick viashiria vya uwepo wenu..kama Furaha haipo huenda wakawachukia ninyi..if you are lucky.. Au wakajichukia wao for being a reason nyie mlikuwa hamna Furaha. Au both.

NB. Kuzaa na mtu ni uamuzi mkubwa sana. Swali langu huwa ni Je, ni wangapi huwa wana communicate nia ya kutaka kuzaa na MTU?! Wanajadiliana na kukubaliana?!

Selfless people don't just get pregnant...kisha wanakuextort uwaoe maana wanajua you love your kids.. Kisha una abandon every little good plan you ever had in your life. Halafu wanaexpect you have to be happy.. No wonder wanaume wanakufa na magonjwa ya.moyo na.misongo ya mawazo.

MUNGU Atusaidie. Tuyashinde.Haya.

Amina
Umetishaaaa, hii ilitakiwa iwe thread kabisa....maana siku hizi nawasikitikia sana vijana wanaangamia...

Inaniuma sana kitaani naona demu kapata mimba bahati mbaya solution aliyempa mimba ndo amuoe...BOOM
 
Mkuu pole sana kwa kilicho kutokea naamini uliumia sana hasa matusi na kejeli zake ni bora angeondoka kimya kimya ushauri kwangu sasa.
Ujue yule sio Mme wako ni mzazi mwenzio tu na sijui kama mlipanga kuzaa au ilitoke tu baada ya penzi kukolea,Mkuu kama una maisha yako usijaribu kurudi nyuma naamini tena utakuja kujutia uamzi wako sisi mwanaume hua tunatamaa sana amekuona umependeza ameanza kujileta kama ni mtoto mwambie amlee tu maana ni damu yake ila wewe kaa mbali na huyu kabisa
 
Umetishaaaa, hii ilitakiwa iwe thread kabisa....maana siku hizi nawasikitikia sana vijana wanaangamia...

Inaniuma sana kitaani naona demu kapata mimba bahati mbaya solution aliyempa mimba ndo amuoe...BOOM
The experience must be awful. Na ni kweli its a trend today.
 
Wakati ule mnatomba-na hadi ukapata mtoto hujuka kutuomba ushaur leo mumemwagana ndo unataka ushaur

LONDON BOY
Acha uhuni wewe ..jf sio yako anzisha forum yako uwe na sheria kwamba watu wasiokua na matatizo wasije kuomba ushauri
 
Back
Top Bottom