Tatizo hiki kizazi kimekuwa cha watu wanaojipenda wenyewe.
Wakinadada pia wanaume wanapenda kupata kile kinachofurahisha mioyo yao. Tatizo sio kila kinachofurahisha moyo wako ndio hitaji lako/kitakufaa.
Mwanamke anamtaka Joni, coz john ni mrefu... Na sio kwakuwa joni ni MTU anayemuheshimu any atakayefaa kuwa baba Wa watoto na Mme bora.
Joni anampenda maria kwa kuwa maria ana shape kama coca cola.. Sio kwa kuwa maria ndiye mtu sahihi kusimamia familia yake..
Maria anataka mtoto kwa kuwa watoto ni fashion.. Au.anazaa na jumbe kwa kuwa jumbe ni mpemba nywele za mtoto zitatereza.. Mbaya hata akishazaa bado anaamini awe anauwezo wa kumlea mtoto au hana uwezo ...ni lazima mtoto akae nae yeye..
Kwann (akae na mtoto)? Kwa kuwa yeye ni mama. As if kuwa mama kunamfanya naturally awe mlezi bora. (Self entitlement!!! ) Mungu Atusaidie.
Kama wengi tungejua ...watoto sio trophies tungekuwa na huruma. Kwa kiburi chetu leo tunaharibu future yooote ya watoto wetu huko.mbeleni. upendo ni kitu kikubwa...na zaidi upendo Wa kweli haukufungi wala haukufanyi mtumwa.
Upendo wa mama ni pamoja na kujua when to.let her kids go. Akapate kilicho bira zaidi ya kile anachoweza kutoa.
Katika Uzi huu..nawaasa wote. Msije mkarudiana kwa sababu ya mtoto. Mkaona kama mnamsaidia.. mtamuumiza mno in the longrun.
Kuna uwezekano kwa kuwa mtt amehodhiwa na mama jamaa anaona arudishe majeshi ili kupata ukaribu na MTT.. Na sometimes mnaweza mkajivuta mpaka mkaoana..tatizo kama hakuna msukumo Wa pendo.. MTT akishajitegemea tu mnaanza kuomba mfe.
Na trust me..watoto ni binadamu wadogo wasiokuwa na uzoefu tu..ila wanauelewa. Watapick viashiria vya uwepo wenu..kama Furaha haipo huenda wakawachukia ninyi..if you are lucky.. Au wakajichukia wao for being a reason nyie mlikuwa hamna Furaha. Au both.
NB. Kuzaa na mtu ni uamuzi mkubwa sana. Swali langu huwa ni Je, ni wangapi huwa wana communicate nia ya kutaka kuzaa na MTU?! Wanajadiliana na kukubaliana?!
Selfless people don't just get pregnant...kisha wanakuextort uwaoe maana wanajua you love your kids.. Kisha una abandon every little good plan you ever had in your life. Halafu wanaexpect you have to be happy.. No wonder wanaume wanakufa na magonjwa ya.moyo na.misongo ya mawazo.
MUNGU Atusaidie. Tuyashinde.Haya.
Amina