Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha ghafla ambadilikie na kumfurumusha toka nyumbani kwake kisa eti sasa ameamua kuoa na ku settle,na kweli akishamfukuza mzazi mwenzie anafunga ndoa na kufanya harusi na kimwana mpya' Anauliza hii inaingia akilini kweli?