Nilizaa na kuishi naye.....

Kweli haiingii akilini kabisa kama ulikuwa humtaki si ungemwambia mapema wanawake nao saa nyingine mie nawalaumu huwezi kusoma alama za nyakati kuwa huyu jamaa hanitaki upooo tu unaitegesha K yako unazaaa mpaka unachakaa haifai

Mhhh!! DA umekuwa mkali!
 
Aksante NATA kwa kutukumbusha hili. Ni muhimu pia kwetu kina dada kuacha kulazimisha mambo. Hajahalalisha ameomba tu muwe bedmates (tafsiri yake ni kuwa I want to have fun and good times with you......haimaanishi I want to share the rest of my life with YOU, Marry you or have kids with you). So tujifunze maadioli au kama tunashindwa basi nasi tujifunze kuishi kwa kuhave fun and spend good time.

Tusijibebeshe mimba kama njia ya kuwa'hook' hawa wenzetu.

well said mamito wanawake tujifunze sana hili sio ukikutana na mtu tu unaanza kuwaza awe mume wangu wakati hujui kichwani mwake anakuwazia nini wanaume wanaficha sana hisia zao ni uongo kwa kwenda mbele ngono ndio huwa ya kwanza kichwani mwao, sasa wewe ghafla unaanza kujizalisha mitoto kisa ndio hutaachwa hata mungu hawezi kukuonea huruma wala kumuadhibu huyo mkaka kwani yeye amekuandalia wako we umeenda kudandia wa mwenzio.

Wewe kula tu starehe kama umeamua hayo mambo mengine kama yapo yatakuja na kama hamna unazidi kujizeesha tu kabla ya wakati na kujiongezea majukumu yasiyo ya lazima kwani utaachiwa hao watoto sijui utawalea vipi.
 
Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha ghafla ambadilikie na kumfurumusha toka nyumbani kwake kisa eti sasa ameamua kuoa na ku settle,na kweli akishamfukuza mzazi mwenzie anafunga ndoa na kufanya harusi na kimwana mpya' Anauliza hii inaingia akilini kweli?

Tatizo la wanawake wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli ndo tatizo hilo, anajikuta anazaa ovyo huku akijinasibu kuwa jamaa anaweza kunifkiria wkt mwanzo aliambiwa kuwa hawezi kumuoa hili ndilo tatizo.
 
Kweli haiingii akilini kabisa kama ulikuwa humtaki si ungemwambia mapema wanawake nao saa nyingine mie nawalaumu huwezi kusoma alama za nyakati kuwa huyu jamaa hanitaki upooo tu unaitegesha K yako unazaaa mpaka unachakaa haifai

Kuna wanawake ving'ang'anizi i see sijawahi ona.
 
ni rahisi kulaumu wanawake kuwa ni kosa lao,ila wa kulaumiwa hapa ni wanaume -mwanamke kama humtaki huna future naye kwa nini usimwache akaenda zake mpk unamzalisha watoto na kumzeesha?:smash:

Mwenye maamuzi ya kuzaa au kutozaa ni mwanamke bana.

Mwanaume hana ubavu wa kumlazimisha mwanamke azae mwanamke ndiye anae jua siku gani za hatari amlengeshe jamaa apige mimba.
 
Tatizo la wanawake wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli ndo tatizo hilo, anajikuta anazaa ovyo huku akijinasibu kuwa jamaa anaweza kunifkiria wkt mwanzo aliambiwa kuwa hawezi kumuoa hili ndilo tatizo.

Kuna wanawake ving'ang'anizi i see sijawahi ona.

Mwenye maamuzi ya kuzaa au kutozaa ni mwanamke bana.

Mwanaume hana ubavu wa kumlazimisha mwanamke azae mwanamke ndiye anae jua siku gani za hatari amlengeshe jamaa apige mimba.

Umenena vyema wanawake tumezidi viherehere kujibebeshaga mimba, mi huwa nakerekaga na hii tabia basi tu mtu ukiachana nae huna mimba nae wala mtoto inakuwa poa sana wanawake tu hatujui hili, unajiondokea zako kwa raha zako utaumia siku mbili tatu baadae maisha yanaendelea lakini mtu ukishazaa nae halafu huitaji kumuona kutokana na mauzi yake lakini ukiangalia ndio ushazaa nae inabidi wakati mwingine muwasiliane tu hata kama hupendi aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha ghafla ambadilikie na kumfurumusha toka nyumbani kwake kisa eti sasa ameamua kuoa na ku settle,na kweli akishamfukuza mzazi mwenzie anafunga ndoa na kufanya harusi na kimwana mpya' Anauliza hii inaingia akilini kweli?

Ndio wajifunze wanawake kubeba mimba kabla hawajaolewa zaa kama unahitaji mtoto ila sio lazima uolewe na uliyezaa nae sababu hamkupatana hivyo na mwenzako awali.ila kama kulikuwa na mapatano ya kuzaa na badae kuoana hii ni ishu ingine lazima jamaa awe responsible
 
Aksante NATA kwa kutukumbusha hili. Ni muhimu pia kwetu kina dada kuacha kulazimisha mambo. Hajahalalisha ameomba tu muwe bedmates (tafsiri yake ni kuwa I want to have fun and good times with you......haimaanishi I want to share the rest of my life with YOU, Marry you or have kids with you). So tujifunze maadioli au kama tunashindwa basi nasi tujifunze kuishi kwa kuhave fun and spend good time.

Tusijibebeshe mimba kama njia ya kuwa'hook' hawa wenzetu.[/QUOTE
Kinamama oneaneni huruma jamani!
 
ni rahisi kulaumu wanawake kuwa ni kosa lao,ila wa kulaumiwa hapa ni wanaume -mwanamke kama humtaki huna future naye kwa nini usimwache akaenda zake mpk unamzalisha watoto na kumzeesha?:smash:

Mwanamke c unasoma alama za nyakati bwana! kwanini ubebe mimba kama una wasiwasi na mwanaume? wanawake wengine wana fikra za ajabu sana, wanadhani kubeba mimba na kuzaa watoto wengi ndo umemkamata mwanaume kumbe ndo wanaharibu kabisaa! Watoto huwa wanapangwa bwana kulingana na kipato cha familia tarajiwa, sasa mwanamke hicho hakijui yeye anataka akubebeshe mzigo wa watoto tu kwa fikra zake eti hutaweza tena kuimwacha, so kazi yake kutegesha tu mimba. Yaaaani hata mimi niko mbioni kuacha!
 
Vipi mtoa mada lakini baada ya kufukuzwa ulienda wapi? maisha baada ya hapo yameendeleaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom