Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kuwaepuka ni kusoma dua tu, niliona kuna dua zimeletwa humu.

Wale wanaokaa uchi zile biashara zimelenga zaidi mashetani na majini wa kishetani. Zisikutie wasiwasi.

Unafahamu majini wapo wengi kuliko binadam?

Kama binadam wema walivo wachache ni hivyo hivyo majini.
 
Arsis ni kweli upo mji uliozama chini ya bahari ukifahamika kama Raphta.... mji huo upo wapi kwa sasa
Upo baina ya Dar na Kilwa. Ni jiji kubwa sio mji tu. Ni katika miji ya enzi za Mafirauni.

Lamu upo mwingine kwenye himaya hio. bahari kuu ya Mtwara ina mji pia lakini huu maji yake ni kina kirefu sana.
 
Mwambie Arsis hatutendei haki nnatamani kuuliza maswali mengine ya binafsi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…