Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Naimalizia maana Niko Interrupted sana ila nitaimaliza
Aloo kumbe daktari kuna watu walikutisha usiendelee na hiyo mada kabisa, maana ulishauriwa basi anzisha uzi wake bado ukala kona.

Hivi ni akina nani hao huwa wanawapiga pin kuendeleza nyuzi za kuwakomboa watu kiroho au maarifa fulani ambayo wengi hawana.

Sio mara ya kwanza mtu kuja na excuse ya kua kuna watu wamemfata kumwambia aachane na hilo analofanya..

Sio ajabu Arsis nae kapewa vitisho huko ujinini nae akampiga biti kijana wake asiendelee na uzi.

Au Maxence Melo anapata vitisho nae analeta tu habari kwa kina DR Mambo Jambo na Arsis waachane na nyuzi zao.
 
Acha ushirikina mwanangu.
 
Pamepoa sana jaman! Tunaopend kujifunza tumeachwa njia panda! Ikikupendeza mleta mada ungeendelea.
 
Kama nimekuelewa hivi expert wsngu
 
Aloo hili sio la kwanza mkuu, hawa watu bila shaka kuna nyundo wamekula, kwa mtoririko aliokua nao Arsis huwezi kudhani kama angelipotea gafla hivi.
Hata mimi nakubaliana na wewe expert wangu

Kuna namna watu wanashinikizwa kusimamisha nyuzi kibabe

Ndio maana unawakuta wanaingia huku wanatokea huku,ukiwauliza mbona kimya,hawana majibu ya kueleweka

Tukubali tu ndio mifumo hiyo
 
Mi nilijua tu Arsis lazima apigwe biti kuendelea na stori yake ya kufumbuliwa macho:
Kwakuwa ni ya ukweli ambao Wataalamu wa hiyo taaluma hawataki isemwe:
Asije akamwaga hadharani siri zao zote:
Kasi yake imewaogopesha na kuamua kumfuata InBox na kumyamazisha kwa vitisho au zawadi nono:
Cc. Arsis
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…