Niliyoyashuhudia kwenye mkutano wa injili wa Mwamposa Moshi

9. Mtumishi alikuwa anaingia na V8 tinted na hakuna cha kupungia hata waumini mkono.
Umaskini kitu kibaya mno kwa hiyo ulitaka aingie na bodaboda ndio roho yako ifurahi? halafu pale ni sehemu ya ibada ulitaka aingie akipunga mikono? ule haukuwa mkutano wa siasa
 
Baada ya ule mkutano nimeapa.kutokwenda kwenye mikutano ya Manabiii.
Usiende, sababu hata ulipoenda hukwenda kusali bali ulienda kama mshtaki ibilisi, farisayo na sadukayo ukitafuta umshtaki Mwamposya kwa lipi.Toka mwanzo hadi mwisho hukuwa kusali ulikuwa kupeleleza kama mshtaki ibilisi uone ni kipi upate kumdhalilisha Mwamposya,Hukwenda na roho ya ibada

ulienda na mapepo yako na ukatoka nayo usirudi nayo tena
 
Yesu mwenyewe alikuwa na mabaunsa 12 mitume wake.POPOTE alipoenda alienda nao
kuna siku alivamiwa baunsa wake petro akatoa kisu chake akamkata sikio mtu
Aisee ...yaani unavyo tafsiri maandiko! Haya maandiko unaweza kuyachomeka kwenye maana unayotaka lakini si kusudio halisi la fundisho kutoka kwa Kristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesahahu kitu akianza kuomba wanao dodondoka ni wa pale mbele tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uwe unafuatilia kwenye redio zake, hakuna nacho danganya hata kimoja
sikuwepo siwezi jibu hilo atuwekee clip za mkutano wote siku hizo mbili tuangalie hapa tujadili kwa pamoja kwa uwazi.MLETA MADA TUWEKEE CLIP ZA MKUTANO ZA SIKU ZOTE MBILI HAPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu tunapenda miujiza zaidi kuliko kuukubali ukweli na uhalisia wa maisha Kwamba lazima uweke juhudi na maarifa katika kufanya kazi ili ufanikiwe. Hakuna maisha mazuri ya miujiza pekee bila kuweka juhudi na maarifa kitika kufanya kazi. Mungu hubariki kazi za mikono ya wanadamu. Lakini watu wengi wamekata tamaa ya maisha na kufanya kazi huku wakijikita katika makanisa ya kiroho kutafuta miujiza pekee na sio maarifa.
Jmn nyakati zimebadirika, tuabudu na tuheshimu Imani lkn na kazi tufanye tena kwa juhudi na maarifa ili tufanikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not yenye thamani unaelewa? Yaani kama una not za 10,000/, 5,000/, 2,000/, 1,000 basi toa sh 10,000/
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…