Hizo honi hapa bongo naweza zipata dukani?? nataka nisumbuane na shemeji zangu wa kimakonde mahuta hukuNinaposema kelele za honi ni kelele kweli huwezi amini pikipiki imefungwa honi ya gari
Mkuu hii habari kama umemwelewa ameikatiza, ataendelea kuitiririsha huenda hayo unayoyataka yakawemo, au huenda aliamua kuona hayo tu.ina maana hakuna hata positive moja la kujifunza..Ama unatushirikisha mabaya tu....
Mtu huona kosa kwanza, akikaribia kurudi bongo atayaona mazuri ya bombayina maana hakuna hata positive moja la kujifunza..Ama unatushirikisha mabaya tu....
Mmaa! Mno munu yu mwe?Hizo honi hapa bongo naweza zipata dukani?? nataka nisumbuane na shemeji zangu wa kimakonde mahuta huku
Punguza Uvelu Wako.Mmaa! Mno munu yu mwe?
Mombasa zimejaaHizo honi hapa bongo naweza zipata dukani?? nataka nisumbuane na shemeji zangu wa kimakonde mahuta huku
hahaha watasema tunaleta ukabila, nnimwona ata nangu nankanganaMmaa! Mno munu yu mwe?
nikija mjini ntaagiza, shemeji zangu na wakwe wa wa kimakonde hizi honi za kawaida wanajifanya hawasikii...Mombasa zimejaa
Wadau wikiiliyopita nilibahatika kwenda matembezi ya wiki moja nchini India Nilifikia katka jiji la Mumbai. kama ilivyo kawaida sehemu yeyote ukifika kwa mara ya kwanza lazima kuna mambo kadhaa kama si yote yatakuwa ni mageni kwako. Yafuatayo ni baadhi ya yale niliyo yashuhudia huko Mumbai. (1) Foleni ya magari na Pikipiki Sijawahi katika maisha yangu kudhani hata siku moja kama kuna sehemu kunawezakuwepo na msongamano wa magari na pikipiki kama ilivyo mumbai (2) Kelele za honi za magari na pikipiki nadhani kuna maeneo india kama chombo chako cha moto hakina honi huwezi kuendesha Ninaposema kelele za honi ni kelele kweli huwezi amini pikipiki imefungwa honi ya gari (3) Uchafu jamani ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu ni wachafu Ukiingia kwenye mighahawa hii ya hali ya chini kwakweli kama una kinyaa huwezi kula. Nimambo mengi sana nimejionea mwenyewe huko kwa wenzetu lakini sio rahisi kuyaeleza yote hapa. Mwingine aliewahi fika huko kwa wadosi amwage hapa alichojifunza. Sikunyingine nitaelezea nilichofahamu kuhusu zile Hospitali maaarufu za Appolo Nawasilisha
Umenena vyema sana ndugu ila nahisi una asili ya uponjoro wewe maana una full data ya Mumbai, mpaka bethidei yake unaijua.Mie Nikiingiaga ndani ya daladala kuchefukwa... mashule yetu mengi wanafunzi hujisaidia vichakani....
Nikipita mitaa ya Congo hupataga kisunzi...........
Nikiingia uwanja wa maonyesho ya 77 nazuiga tumbo hadi baadae...
Nikipandaga mabasi ya mikoani na bana pua na kuziba masikio.........
Sijui eapoti maji hakuna Hospitali maji na umeme wa kusasua...........
WEWE mf bean. Mumbai ni jjiji lenye wakazi (24m) Zaidi nusu ya idadi ya waTZ.... halafu huduma za tiba zote hupatikana papo hapo!! na kila aina upasuaji na ubadilishaji viungo bila kucheleweshwa na mlolongo wa Siasa... ni pesa yako !!
Jijila Mumbai lina miaka Zaidi 3000 toka lijengwe.... Soko la kwanza la dhahabu duniani ni Mumbai... bandari kuu imeshemiri usafiri wa maji kuunganisha dunia.....
mara ingine anza na Ukweli na haki ya mazuri yenye faida!!