Mkuu naheshimu sana mawazo yako, umesema kwamba thred ulitumiwa sasa hapa umetuletea umbeya mimi nitakusaidia kukupa hint kidogo za Karatu.
Karatu ni moja ya Wilaya za kupigiwa mfano Tanzania, Dokt Slaa amekuwa Mbunge wa Karatu wakati huo wakazi wake waliamini ili kupatikana maji Karatu inahitajika ije miujiza, Dokt wa ukweli akajitahidi sana na amefanikiwa kuweka mtandao wa maji katika kila kiji, na isingewezekana ktokana na mazingira ya huko kuweka maji katika kila kaya, amefanikiwa kujenga Shule za Sekondari katika kila Kijiji Mkwere anazungumzia ujenzi wa Sekondari za Kata na ujanja huo aliupatia Karatu baada kufanya ziara huko na kusomewa taarifa ya maendeleo ya Wilaya, alipofika Dar es Salaam akakurupuka kujenga Shule katika kila Kata, Halmashauri ya Wilaya ya Karatu chini ya CDM imefanikiwa kujenga chuo cha Ualimu cha Halmashauri na pia chuo cha uuguzi, ni halmashauri pekee nchini ilipata mafanikio makubwa sana na ni ya kupigiwa mfano, hata EL mwaka 2000 alipotakiwa kuenda jimboni Karatu kumshughulikia Dr Slaa aliweza kutoa ushuhuda kwa wana CCM wenzake kwa kuwa hawezi kwenda huko kutokana na Dr Slaa alivyoweza kuwahudumia wananchi wa jimbo lake na maendeleo makubwa yaliyopatikana hayo ni machache lakini yapo mengi ambayo ni ya mfano na kujivunia Karatu
Hiyo safari ya Loliondo umepitaje jimbo la KARATU? mto wa mbu ni MONDULI pia unapita Engare sero ambayo ni LONGIDO na hata hiyo Loliondo ni jimbo la NGORONGORO...usipotoshe watu
Mkuu naheshimu sana mawazo yako, umesema kwamba thred ulitumiwa sasa hapa umetuletea umbeya mimi nitakusaidia kukupa hint kidogo za Karatu.
Karatu ni moja ya Wilaya za kupigiwa mfano Tanzania, Dokt Slaa amekuwa Mbunge wa Karatu wakati huo wakazi wake waliamini ili kupatikana maji Karatu inahitajika ije miujiza, Dokt wa ukweli akajitahidi sana na amefanikiwa kuweka mtandao wa maji katika kila kiji, na isingewezekana ktokana na mazingira ya huko kuweka maji katika kila kaya, amefanikiwa kujenga Shule za Sekondari katika kila Kijiji Mkwere anazungumzia ujenzi wa Sekondari za Kata na ujanja huo aliupatia Karatu baada kufanya ziara huko na kusomewa taarifa ya maendeleo ya Wilaya, alipofika Dar es Salaam akakurupuka kujenga Shule katika kila Kata, Halmashauri ya Wilaya ya Karatu chini ya CDM imefanikiwa kujenga chuo cha Ualimu cha Halmashauri na pia chuo cha uuguzi, ni halmashauri pekee nchini ilipata mafanikio makubwa sana na ni ya kupigiwa mfano, hata EL mwaka 2000 alipotakiwa kuenda jimboni Karatu kumshughulikia Dr Slaa aliweza kutoa ushuhuda kwa wana CCM wenzake kwa kuwa hawezi kwenda huko kutokana na Dr Slaa alivyoweza kuwahudumia wananchi wa jimbo lake na maendeleo makubwa yaliyopatikana hayo ni machache lakini yapo mengi ambayo ni ya mfano na kujivunia Karatu
oh LordToka lini ulimuona Slaa ana nia ya dhati ya kuwaletea watanzania mabadiliko? Bro huyo jamaa yako alipita mbali nadhani angepita kwao na Slaa mwenyewe nadhani angelia kiasi kwamba angeshindwa kusimulia. Nilivoona home kwao nilijiuliza kwa CV hii
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
alishindwa vipi kupaweka sawa hata nyumbani kwao? kama mtu kampotezea mzee wake how comes awe na uchungu na wasiokuwa ndugu zake?
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
kwanza leta demarcations za Jimbo la Karatu,areas covered and nearby places ili tuamini unachosema
Hata jimbo hili mbunge wake alishawahi kuingia katika kugombea uraisi na pia waziri wa muda mrefu wa idara nyetiHivi kuna tatizo gani gani kuijadili hoja ya Kashaga kwanza na kujua ukweli wake kabla hatujarukia kutoa mifano majimbo mengine? Ni kweli kuna matatizo hayo ktk jimbo la Karatu?
Kwanza umesema umetumiwa email..yaani sio wewe uliefika,then ukaibua ajenda yako ya nyuma ya pazia na wapambe wako..afterall jukumu la kuwekea maji wananchi ni la serkali...mbunge ni mhamasishaji,msimamizi na mpiga debe wa wananchi wake
kwahiyo wale wabunge wanaowaekea maji wananchi wao wanakuwa wameingilia kazi za serikali au? mbunge lazima awe mbunifu na mchakarikaji katika kuwaletea wananchi maendeleo na sio kukaa chini kusubiri serikali! Slaa alichemka kwakweli
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
Karatu huijui Moshi mjini huijui!
Peleka PUMBA zako huko!
guy or gay?kashaga is a very interesting guy
hata jamaa wa chadema moshi "wanamjua"
Na wewe umekurupuka :lol: soma vizuri habari kabla hujaweka comments! Rudi nyuma soma habari vizuri. Watu mingine bana?Hivi hapa ni nani aliyekurupuka, wewe au Kashanga? Nionavyo mimi ni kuwa, Kashanga kaletewa taarifa toka kwa rafiki aliyemtaja kwa majina ya Mussa Mosha anayeishi Arusha na kufanya kazi za Utalii. Kosa lake ni nini hata umshambulie namna hiyo na kudai kuwa amekurupuka? Wewe ndio umekurupuka. Na tabia hii ndio aliyonayo Dr. Slaa, bila aibu hutangaza misiba ya watu wanaotembea barabarani, hivi huwa munapomuuliza "Mkombozi" wenu huyo juu ya tabia hii huwa ansemaje?