safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
ukweli siku zote unauma na unachoma,mi nilidhani mngejibu hoja kwa vielelezo lakini ni matusi tupu,mi nasema mtatukana matusi yooteila hamtanifunga mdomo nitaendelea kusema ukweli,Slaa karatu kaishindwa kabisa miaka aliyokaa ni mingi sana pale! mbona kwa Ndesa nimepasifia bila kinyongo,kwanini nisionyeshe ushabiki wangu kwa kupinga mambo aliyofanya ndesa?? lakini amefanya na ndio maana nampongeza,mbowe pale hai amejenga miradi mingi ya maji na kusaidia mashule mengi sana! sasa slaa amefanya nini karatu? ni kipi anachoweza kutembea kifua mbele kafanya yeye kama mbunge(uwezo binafsi) hali ya karatu ni mbaya sana tuache ushabiki
Acha siasa maji taka wewe...JK ameiacha Chalinze bila hata sekondari 1 ukiiacha ile ambayo yeye alisoma middle school, ameacha Zahanati yenye hali mbaya wakati mahitaji ya mji wa Chalinze ni hospitali tena hospitali kubwa,maji yapo mjini tu,shule za msingi hazina madawati na wanafunzi wanashindana wingi wa funza miguuni kutokana na vumbi lililokithiri.....Anza na Jk kwanza kabla hujamshambulia Slaasafari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
Toka lini ulimuona Slaa ana nia ya dhati ya kuwaletea watanzania mabadiliko? Bro huyo jamaa yako alipita mbali nadhani angepita kwao na Slaa mwenyewe nadhani angelia kiasi kwamba angeshindwa kusimulia. Nilivoona home kwao nilijiuliza kwa CV hii
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
alishindwa vipi kupaweka sawa hata nyumbani kwao? kama mtu kampotezea mzee wake how comes awe na uchungu na wasiokuwa ndugu zake?
Jamani hivi kweli mmeamua ku-argue na mwanafunzi wa shule ya kata! Please JF members...!
Unavijua vijiji vya Chalinze wewe? Na unajua ni vingapi vinapata hayo maji? unajua ni vijiji vingapi wanashare maji ya kunywa na mifugo? KWA TAARIFA YAKO NI 30% ya wanajimbo la Chalinze wanaoyapata hayo majiJK akiwa Mbunge wa Chalinze aliweza kuwapelekea maji salama na ya uhakika wananchi wa jimbo lake.
Toka lini ulimuona Slaa ana nia ya dhati ya kuwaletea watanzania mabadiliko? Bro huyo jamaa yako alipita mbali nadhani angepita kwao na Slaa mwenyewe nadhani angelia kiasi kwamba angeshindwa kusimulia. Nilivoona home kwao nilijiuliza kwa CV hii
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
alishindwa vipi kupaweka sawa hata nyumbani kwao? kama mtu kampotezea mzee wake how comes awe na uchungu na wasiokuwa ndugu zake?
View attachment 25393View attachment 25394View attachment 25395
hapo je ni karatu?:focus:....hapa ni hapo jirani kwa mzee kigoda-HANDENI
Toka lini ulimuona Slaa ana nia ya dhati ya kuwaletea watanzania mabadiliko? Bro huyo jamaa yako alipita mbali nadhani angepita kwao na Slaa mwenyewe nadhani angelia kiasi kwamba angeshindwa kusimulia. Nilivoona home kwao nilijiuliza kwa CV hii
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
alishindwa vipi kupaweka sawa hata nyumbani kwao? kama mtu kampotezea mzee wake how comes awe na uchungu na wasiokuwa ndugu zake?
Unavijua vijiji vya Chalinze wewe? Na unajua ni vingapi vinapata hayo maji? unajua ni vijiji vingapi wanashare maji ya kunywa na mifugo? KWA TAARIFA YAKO NI 30% ya wanajimbo la Chalinze wanaoyapata hayo maji

huyu kashaga anajulikana.......Muongo mkubwa na mchochezi,,,,hajafika hata loliondo!
muulizeni kwa nini hawakunadamana juzi kama vijana wapenda aman?
Kama ni kweli dr slaa alishindwa kuongoza karatu basi mbunge aliya mteuwa kugombea kwa niaba yake asinge shinda.
We koma, Kashaga sio kijana, ni Steven Wassira Tyson... Waziri wa Public Relation...