Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,242
Uko sawa binafsi nimekaa Arusha na mwanza pia,ila kwangu mwanza naipa saluteArusha isingekuwa usela mavi wa wale machalii clearly hii battle ya Arusha vs Mwanza wala isingekuwa ngumu. Tatizo la Arusha ni vijana wengi wana usela wa miaka ya 90 karne hii..
Arusha ipo mbele ya Mwanza kwa karibia kila kitu, kitu pekee kinachoichafua Arusha ni tabia za vijana wengi wenyeji wa hapo hawana lugha wala charisma ya kuwapokea na kukaa na wageni. Wao kwao mgeni wanamwona ni Mzungu tu.
Hapa Arusha wapo watu kutoka mikoa yote ya Tanzania. Je, unaweza kusema hao watu wamefanyiwa "usela mavi" upi kama ulivyoita?Arusha isingekuwa usela mavi wa wale machalii clearly hii battle ya Arusha vs Mwanza wala isingekuwa ngumu. Tatizo la Arusha ni vijana wengi wana usela wa miaka ya 90 karne hii..
Arusha ipo mbele ya Mwanza kwa karibia kila kitu, kitu pekee kinachoichafua Arusha ni tabia za vijana wengi wenyeji wa hapo hawana lugha wala charisma ya kuwapokea na kukaa na wageni. Wao kwao mgeni wanamwona ni Mzungu tu.
Nyie ndo hamjiamini😂😂mara mwamba wa kaskazini mnafosi kubattle eti nimetoka chugaTatizo watu wanaotoka mikoa tofauti na A town (ukiondoa Kilimanjaro) wana inferiority complex wakikutana na vijana/wakazi kutoka A town.
Wengi wanakosa kujiamini na kudhani wanabaguliwa kumbe hakuna mtu mwenye time nao.
Unaweza gundua hili kwa urahisi tu hasahasa miongoni mwa vijana chini ya miaka 35. Kwa wazee hauwezi kuona hili. Hii naifananisha vile Watanzania wengi walivyo na inferiority complex wakikutana na waKenya.
Hapa Arusha tourism imesaidia pakubwa vijana wengi kuwa na self confidence kwasababu yamwingiliano na wageni.
Jambo la msingi na lakukumbuka, sisi Watanzania wote ni watu poa. Haina haja yakujiona dhaifu au kudhani wakazi wa Arusha wanawachukia wakazi wa maeneo mengine ya Tanzania.
Tanzania ni moja.
Halafu wakiingia daslam ndio wa Kwanza kufosi lafudhi ya pwani 😅msinipige mawe bana natania tu 😅Nyie ndo hamjiamini😂😂mara mwamba wa kaskazini mnafosi kubattle eti nimetoka chuga
Nyie hamjiamini ng'o hakuna mtu ana wasifia ila wenyewe mnajipa promo...wengi waliostarabika kwa mavazi yenu wanawaona kama wezi yaani vibaka si vibaka ..
Nimekaa nao bweni wao kila siku kuleta ukanda " eti nyie watu wa Pwani mbona mnajifanya wajijuaji San"😂😂😂
Nenda kweny watu wenye kiswahili kizuri utakuta wao ndo wanajiproud ila majority wanajua sehemu fulani ndo wanaongea vizuri
Usela wa kijinga yaani sijawahi kupapenda kabisa wala sitaki kabisa kizazi changu kije kuiga ile tabia yao .Arusha isingekuwa usela mavi wa wale machalii clearly hii battle ya Arusha vs Mwanza wala isingekuwa ngumu. Tatizo la Arusha ni vijana wengi wana usela wa miaka ya 90 karne hii..
Arusha ipo mbele ya Mwanza kwa karibia kila kitu, kitu pekee kinachoichafua Arusha ni tabia za vijana wengi wenyeji wa hapo hawana lugha wala charisma ya kuwapokea na kukaa na wageni. Wao kwao mgeni wanamwona ni Mzungu tu.
😂😂😂Hapa dar ndo wanamaliza mitumba ya karumeHalafu wakiingia daslam ndio wa Kwanza kufosi lafudhi ya pwani 😅msinipige mawe bana natania tu 😅
Mkuu kanda ya ziwa n balaaa yaaan kilugha popote....alafu wakiona ww hujui lugha yao wanakuita kwa jna la kabila laoSipendi mikoa ya watu wanaoongea vilugha vyao.
Ningekua na mamlaka ni viboko kuongea vilugha mpaka tungefuta na kubaki Kiswahili pekee.
Hahahah wanakuja jiandae,mie chugga nimefanya kazi mwaka mzima ila sikuwahi kupaelewa aiseh😂😂😂Hapa dar ndo wanamaliza mitumba ya karume
Ngoja nikuambie kitu.Nyie ndo hamjiamini😂😂mara mwamba wa kaskazini mnafosi kubattle eti nimetoka chuga
Nyie hamjiamini ng'o hakuna mtu ana wasifia ila wenyewe mnajipa promo...wengi waliostarabika kwa mavazi yenu wanawaona kama wezi yaani vibaka si vibaka ..
Nimekaa nao bweni wao kila siku kuleta ukanda " eti nyie watu wa Pwani mbona mnajifanya wajijuaji San"😂😂😂
Nenda kweny watu wenye kiswahili kizuri utakuta wao ndo wanajiproud ila majority wanajua sehemu fulani ndo wanaongea vizuri
Kuna msela alikuja pm eti tukapigane 😂😂wa huko chuga sasa naona katulia mtu yupo miaka 35 eti anataka kupigana kisa tumebishana kweny Uzi.Hahahah wanakuja jiandae,mie chugga nimefanya kazi mwaka mzima ila sikuwahi kupaelewa aiseh
Wapi sisi wa Pwani ndo tunajiamini hatuna kelele nyie hamna kitu mnafanya ..kwanza tuanwaonea huruma .Ngoja nikuambie kitu.
Wakazi wa A town wapo na strong personality kama vile walivyo Wakenya.
Hii inasababisha watu wanaotoka mikoa mingine kujiona inferior wanapokutana na watu kutoka A town.
Hii utagundua kwa urahisi sana mashuleni na hata makazini. Hasahasa kwa vijana chini ya 35 years.
Ni shida kubwa.
Hahahah unaniua mbavu, full usela😅Mie nimetoka chugga nikaenda Dizimu nikajiona tofauti Sana hata worker's wenzangu walikuwa wananishangaa mwanzo,ila after a year nikachangeKuna msela alikuja pm eti tukapigane 😂😂wa huko chuga sasa naona katulia mtu yupo miaka 35 eti anataka kupigana kisa tumebishana kweny Uzi.
Madibila🥰Mwanza hua ni nzuri bana, ndoto za watu wa Arusha ni kuishi na kuwekeza mwanza hauwezi the kusikia msukuma anawaza kwenda arusha afadhali aende ifakara, lindi, chunya, kigoma, mpanda, sumbawanga, madibila, rujewa, ubaruku, ambapo atalima na kufuga au kuchimba dhahabu , kuliko akateseke arusha
Usela wa kijinga yaani sijawahi kupapenda kabisa wala sitaki kabisa kizazi changu kije kuiga ile tabia yao .
Vijana hawana future yaani nimefika pale Yale mavazi nimeona kama nipo mwaka 1990's hujui aliyesoma ni yupi ..wamekaa kizamani zamani na almost pale stendi unaona watu wamevaa Yale matairi ya wamasai ya kuchungia "kata mbuga"
Almost nikiangalia watu wengi walivyo kama vibaka hawaeleweki wamevaa hovyo kabisa
Itachukua miaka mingi watu wa mikoa tofauti na A town kuondoa inferiority complex mliyonayo mnapokutana na wakazi/vijana wa A town.Wapi sisi wa Pwani ndo tunajiamini hatuna kelele nyie hamna kitu mnafanya ..kwanza tuanwaonea huruma .
Kumingle haswa mademu zenu hatuna time kabisa ...
No strong personality zaidi ya boosting and hyping😂😂.Itachukua miaka mingi watu wa mikoa tofauti na A town kuondoa inferiority complex mliyonayo mnapokutana na wakazi/vijana wa A town.
Hii inaonekana wazi tu na hata wageni wasio watanzania wanasema hii. Wakazi wa A town wapo na strong personality.
Nafahamu unaweza jihisi vibaya na kujiona dhaifu lakini hiyo si lengo langu ujihisi hivyo.
Muhimu endeleeni kujenga self confidence na mtakuwa sawa tu.
Kitu inawasumbua wakazi wa mikoa tofauti na A town ni ile hali yakujihisi wao wanadharaulika wanapokutana na wakazi wa A town.HAkuna mji mzuri kama Arusha Tanzania hii...mbali na kuhesabu ghorofa..ni wajanja pekee watanielewa
Ngongo
Maandiko yako yanadhibitisha nilichoandika.No strong personality zaidi ya boosting and hyping😂😂.
Kijana wenu kama Nikki hamna kitu hana confidence ushamba kibao mpaka anapigiwa kweupe.
Yaani hamna kitu naweza kufurahia mademu zenu vile wanatuappreciate laiti mngejua mngejua sisi wa Pwani ndo tuna confidence hapo elimu hatuna time nayo wala pesa ila tunajiamini...
Nyie mpaka mvute bangi 😂😂hamjiamini