jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,153
- 8,709
Unaakili kama zangu eeeh mungu tuepusheYaani nitibiwe nipone halafu wanizuie kutoka kisa deni, labda sina miguu. Yaani nawaambia kabisa nyumbani jamani nileteeni mayai, chips, samaki niwe nakula kutafuta nguvu ya kutoroka. Siku ya kusepa hawataamini macho yao.