Niliyotonywa baada ya kulonga na mwanajeshi LUGALO

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Wakulu natumai wote mko poa. Jana baada ya kurudi zangu nyumbani mida ya jioni nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa wa Jeshi la wananchi kambi ya Lugalo. Katika mazungumzo yetu tuliongelea kwa kirefu suala la milipuko ya mabomu kule Mbagala na hasa ya hivi karibuni kule kwenye ghala kubwa la silaha la Gongo la Mboto. ama kwa hakika nilishtushwa na jinsi mwanajeshi yule alipotabanaisha tena kwa kujiamnini kuwa kuna hujuma kwenye tukio la Gongo la Mboto. Alinieleza kuwa huko nyuma wanajeshi wa vyeo vya chini ama non-officers walikutana na mkuu wa nchi kumueleza tofauti za kimaslahi kati yao ma maofisa amabao wanapata mishahara minono na marupurupu kibao. Walimuomba mkuu ajaribu kuwaongezea mishahara maana wao ndio wapiganaji na wavuja jasho a kusiwe na gap kubwa kati yao na maofisa wanaoanzia nyota moja na kuendelea. kama kaaida yake mkuu wetu wa aliwajibu kwa kebehi na dharau kuwa kama wanataka mishahara mikubwa basi waende shule wakaongeze elimu!!! Jibu hilo halikuwaridhisha wapiganaji wa vyeo vya chini na wakaapa kufanya hujuma mpaka kieleweke na moja ya hujuma ni hiyo ya hivi karibuni ya milipuko ya Gongo la Mboto ambapo kwa mujibu wa jamaa yangu hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyepoza maisha achilia mbali kujeruhiwa. Akaendelea kutabanaisha kuwa tukio hilo ni cha mtoto maana mengine yatakuja tena ya kiwango kikubwa hadi kieleweke kwa kweli nilishtushwa sana. Akamalizia kwa kusema " mama mwenye nyumba akimnyanyasa msichana wa kazi basi akienda kazini house girl anamalizia hasira zake kwa watoto wake"

Kwa kweli kama jamaa anayosema ni ya kweli basi kazi tunayo na anasema bado kila Kambi yenye silaha tutegemee maukio kama haya... Naomba kuwasilisha...
 
Wakulu natumai wote mko poa. Jana baada ya kurudi zangu nyumbani mida ya jioni nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa wa Jeshi la wananchi kambi ya Lugalo. Katika mazungumzo yetu tuliongelea kwa kirefu suala la milipuko ya mabomu kule Mbagala na hasa ya hivi karibuni kule kwenye ghala kubwa la silaha la Gongo la Mboto. ama kwa hakika nilishtushwa na jinsi mwanajeshi yule alipotabanaisha tena kwa kujiamnini kuwa kuna hujuma kwenye tukio la Gongo la Mboto. Alinieleza kuwa huko nyuma wanajeshi wa vyeo vya chini ama non-officers walikutana na mkuu wa nchi kumueleza tofauti za kimaslahi kati yao ma maofisa amabao wanapata mishahara minono na marupurupu kibao. Walimuomba mkuu ajaribu kuwaongezea mishahara maana wao ndio wapiganaji na wavuja jasho a kusiwe na gap kubwa kati yao na maofisa wanaoanzia nyota moja na kuendelea. kama kaaida yake mkuu wetu wa aliwajibu kwa kebehi na dharau kuwa kama wanataka mishahara mikubwa basi waende shule wakaongeze elimu!!! Jibu hilo halikuwaridhisha wapiganaji wa vyeo vya chini na wakaapa kufanya hujuma mpaka kieleweke na moja ya hujuma ni hiyo ya hivi karibuni ya milipuko ya Gongo la mboto ambapo kwa mujibu wa jamaa rangu hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyepoza maisha achilia mbali kujeruhiwa. Akaendelea kutbanaisha kuwa tukio hilo ni cha mtoto maana mengine yatakuja tena ya kiwango kikubwa hadi kieleweke kwa kweli nilishtushwa sana. Akamalizia kwa kusema " mama mwenye nyumba akimnyanyasa msichana wa kazi basi akienda kazini house girl anamalizia hasira zake kwa watoto wake"

Kwa kweli kama jamaa anayosema ni ya kweli basi kazi tunayo na anasema bado kila Kambi yenye silaha tutegemee maukio kama haya... Naomba kuwasilisha...[/Q

Ingekua vizuri kama wangelipua ikulu anakoishi mkwere na mke wake,...au kama vip wamuue ridhiwan ili mkwere imuume,...kwasababu kwa mwendo huu raia wasio na hatia wanapoteza maisha na mali zao huku mkwere akiwa hana uchungu hata chembe.
 
Aisee kama hii habari si yakutungwa basi tutarajie maafa makubwa! Nawasikitikia wananchi wenye kipato duni kwakua wao ndio waadhirika wakubwa!
 
Wakulu natumai wote mko poa. Jana baada ya kurudi zangu nyumbani mida ya jioni nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa wa Jeshi la wananchi kambi ya Lugalo. Katika mazungumzo yetu tuliongelea kwa kirefu suala la milipuko ya mabomu kule Mbagala na hasa ya hivi karibuni kule kwenye ghala kubwa la silaha la Gongo la Mboto. ama kwa hakika nilishtushwa na jinsi mwanajeshi yule alipotabanaisha tena kwa kujiamnini kuwa kuna hujuma kwenye tukio la Gongo la Mboto. Alinieleza kuwa huko nyuma wanajeshi wa vyeo vya chini ama non-officers walikutana na mkuu wa nchi kumueleza tofauti za kimaslahi kati yao ma maofisa amabao wanapata mishahara minono na marupurupu kibao. Walimuomba mkuu ajaribu kuwaongezea mishahara maana wao ndio wapiganaji na wavuja jasho a kusiwe na gap kubwa kati yao na maofisa wanaoanzia nyota moja na kuendelea. kama kaaida yake mkuu wetu wa aliwajibu kwa kebehi na dharau kuwa kama wanataka mishahara mikubwa basi waende shule wakaongeze elimu!!! Jibu hilo halikuwaridhisha wapiganaji wa vyeo vya chini na wakaapa kufanya hujuma mpaka kieleweke na moja ya hujuma ni hiyo ya hivi karibuni ya milipuko ya Gongo la mboto ambapo kwa mujibu wa jamaa rangu hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyepoza maisha achilia mbali kujeruhiwa. Akaendelea kutbanaisha kuwa tukio hilo ni cha mtoto maana mengine yatakuja tena ya kiwango kikubwa hadi kieleweke kwa kweli nilishtushwa sana. Akamalizia kwa kusema " mama mwenye nyumba akimnyanyasa msichana wa kazi basi akienda kazini house girl anamalizia hasira zake kwa watoto wake"

Kwa kweli kama jamaa anayosema ni ya kweli basi kazi tunayo na anasema bado kila Kambi yenye silaha tutegemee maukio kama haya... Naomba kuwasilisha...

kwani yeye mkwere ana elimu ya kiwango gani
 
Asipuuzwe aliyeanika hapa jamvini, nami nimezisikia hivyo-hivyo juu ya hizo taarifa.
Lisemwalo...
 
Soma na hii kwa makini............

Tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai leo huku tukimuomba aziweke roho zao mahali pema peponi waliokufa kwa mabomu wiki iliyopita huko Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam. Tunaamini wote waliokufa ambao tulikuwa tukiwapenda sana, Mungu amewapenda zaidi.

Baada ya kusema hayo, sasa tukumbushane tu kwamba katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) tunalolitegemea kwa ulinzi wetu, kumekuwa na matukio mengi ambayo yanapaswa kuitwa ni majanga.

Ndugu zangu, mtu mwenye kufikiri ni lazima ajiulize, nini kinasababisha haya majanga kutokea ndani ya jeshi hili mara kwa mara?

Wakati baadhi ya watu waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wameanza harakati za mazishi ya wapendwa wao ambao walipatwa na janga la milipuko hiyo ya mabomu ya jeshi katika kikosi cha 511, tutafakari kwa pamoja matukio yafuatayo kisha tuchekeche ubongo kuona nani wa kulaumiwa.

Ndugu zangu, kweli inawezekana hizi ajali ni za bahati mbaya lakini kinachosumbua wananchi wengi hasa wenye uwezo wa kutafakari na kujenga hoja kwa kutazama mwenendo wa mambo ndani ya nchi yao, ni kujirudia kwa tukio hili la kulipuliwa watu na mali zao kwa kipindi kifupi sana.

Ndugu zangu, hebu tuangalie matukio ndani ya jeshi letu, tukianzia na Desemba 2007 ambapo helikopta ya kijeshi ilianguka kwenye Ziwa Natron.

Katika ajali hiyo, ndani ya helikopta kulikuwa na watalii wanne na maofisa watatu wa jeshi la wananchi lakini mwaka uliofuatia, yaani Juni 2008 helikopta ya pili ilianguka Oljoro, Arusha wakati ikianza safari ya kwenda Dar es Salaam. Watu wote sita waliokuwemo ndani walipoteza maisha wakiwemo watoto wawili.

Lakini janga lingine linalofanana na hili la Gongo la Mboto ni lile la Aprili, 2009 na Septemba 2009 katika kambi ya jeshi 671 KJ Mbagala Kizuiani, ambako ghala la silaha lililipuka mabomu.

Hakika ndugu zangu wengi tunakumbuka kuwa maafa yalikuwa ni makubwa mno, kwani watu zaidi ya 25 walikufa na majeuri walikuwa ni mamia. Tulisikia viongozi wetu wakituambia kuwa tukio kama hilo halitatokea tena.

Mwaka jana, Juni 2010 ajali ingine ikatokea, ndege ya JWTZ kutoka Ngerengere ilipoanguka katika Kijiji cha Manga, mpakani mwa Mikoa wa Tanga na Pwani, wilayani Handeni. Katika ajali hiyo marubani wote wawili walikufa.

Katika ajali hiyo tuliambiwa ndege hiyo iligonga lori lililokuwa na watalii na kusababisha lipinduke, hakika madhara kwa watalii yalikuwa makubwa.

Ndugu zangu, kumbukumbu zinaonesha kwamba mwaka 2005 kulitokea mlipuko kama huu katika Kikosi cha Jeshi Gongo la Mboto. kwa bahati nzuri tukio hilo halikuleta maafa kwa wananchi na mali zao na halikutangazwa sana.

Mbaya zaidi ni kuwa kila majanga haya yanapotokea umma huwa haupatiwi taarifa ya ripoti ya uchunguzi kwa kisingizo kimoja tu kuwa taarifa hiyo ni kwa ajili ya matumizi ya kijeshi.

Kwa mtazamo wangu kutokana na madhara kwa raia, ingefaa basi hao wanaoandaa taarifa wakaandaa mbili, moja kwa jeshi na nyingine kwa raia ili waelewe nini kilisababisha waumie na bila shaka itaeleza mbinu ya kujikinga na mabomu pindi hali kama hiyo inapotokea.

Kufanya hivyo kutapunguza au kufundisha raia mbinu ya kuepuka madhara kama hayo siku za usoni.

Ndugu zangu, mbaya zaidi ni kuwa katika mtiririko wa matukio tuliyoyaorodhesha, uongozi ama wa kisiasa au kijeshi ni ule ule. Hapo linazuka swali, kama vigogo ni wale wale hawaoni kuwa kuna haja ya kuepusha majanga haya yanayojirudia? Kama jibu ni ndiyo, wafanye nini sasa?

Tatizo la kulipuka mabomu jeshini na kuua raia na kuharibu mali zao na za serikali kujirudia ndiyo kinachowauma watu. Taarifa rasmi za kiserikali zinaeleza kuwa watu 21 wamekufa, 315 kujeruhiwa na wengine takribani 135 kulazwa hospitalini kutokana na milipuko hiyo, hakika inauma sana.

Wote tumesikia taarifa ya Baraza la Taifa la Usalama ambayo inaonesha kwamba hakuna atakayewajibika. Kwa msingi huo kila kitu kinachukuliwa kama bahati mbaya tu; hakuna wa kulaumiwa.

Ndugu zangu, tumesikia serikali ikisema kwamba baada ya janga hili sasa imeamua kuomba msaada kwa nchi rafiki kusaidia katika uchunguzi wa chanzo cha milipuko na kushauri namna bora zaidi ya kuimarisha usalama na uhifadhi wa silaha za moto katika maghala ya JWTZ.

Ndugu zangu, niwaambie tu wahusika huko jeshini kuwa umma bado umepigwa na bumbuwazi. Hii ni kwa sababu miaka ya nyuma taifa halikuwa na majanga kama haya tofauti na sasa.

Kipindi hicho teknolojia ya kuhifadhi na hata kutengeneza silaha za moto ilikuwa chini tofauti na sasa. Pia jeshi lilikuwa na wanajeshi wasomi wachache zaidi. Kwa nini matatizo kama haya yasitokee kipindi hicho? Tunatanzika zaidi kupata jibu la maana juu ya mfululizo wa majanga yanayotokea sasa.

Tunashindwa kupata jibu la swali kwamba tukio moja halitoshi kutoa fundisho kwa ajili ya kuepuka madhara kama haya siku za usoni? Hakika matukio yanayopoteza roho za watu jeshini yamekuwa mengi kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Viongozi tafakarini hili ili kuepuka janga kubwa zaidi ya hili.
Jipu limepasuka siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli. SOURCE GLobal Publishers...
 
Wakulu natumai wote mko poa. Jana baada ya kurudi zangu nyumbani mida ya jioni nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa wa Jeshi la wananchi kambi ya Lugalo. Katika mazungumzo yetu tuliongelea kwa kirefu suala la milipuko ya mabomu kule Mbagala na hasa ya hivi karibuni kule kwenye ghala kubwa la silaha la Gongo la Mboto. ama kwa hakika nilishtushwa na jinsi mwanajeshi yule alipotabanaisha tena kwa kujiamnini kuwa kuna hujuma kwenye tukio la Gongo la Mboto. Alinieleza kuwa huko nyuma wanajeshi wa vyeo vya chini ama non-officers walikutana na mkuu wa nchi kumueleza tofauti za kimaslahi kati yao ma maofisa amabao wanapata mishahara minono na marupurupu kibao. Walimuomba mkuu ajaribu kuwaongezea mishahara maana wao ndio wapiganaji na wavuja jasho a kusiwe na gap kubwa kati yao na maofisa wanaoanzia nyota moja na kuendelea. kama kaaida yake mkuu wetu wa aliwajibu kwa kebehi na dharau kuwa kama wanataka mishahara mikubwa basi waende shule wakaongeze elimu!!! Jibu hilo halikuwaridhisha wapiganaji wa vyeo vya chini na wakaapa kufanya hujuma mpaka kieleweke na moja ya hujuma ni hiyo ya hivi karibuni ya milipuko ya Gongo la Mboto ambapo kwa mujibu wa jamaa yangu hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyepoza maisha achilia mbali kujeruhiwa. Akaendelea kutabanaisha kuwa tukio hilo ni cha mtoto maana mengine yatakuja tena ya kiwango kikubwa hadi kieleweke kwa kweli nilishtushwa sana. Akamalizia kwa kusema " mama mwenye nyumba akimnyanyasa msichana wa kazi basi akienda kazini house girl anamalizia hasira zake kwa watoto wake"

Kwa kweli kama jamaa anayosema ni ya kweli basi kazi tunayo na anasema bado kila Kambi yenye silaha tutegemee maukio kama haya... Naomba kuwasilisha...

Madai yao yana ukweli ila wanakosea kuyalipua na kuua hata raia wasio na hatia. Kwa nini kabla ya kuyalipua wasiyalengeshe yapige Ikulu na wanakokaa wezi wa inji hii?
 
Kama wanajeshi wangekuwa na akili basi walipue makombora ya kigamboni na changanyikeni kwani yenyewe yana uwezo wa kufika ikulu. Ni upuuzi kama wanalipua kwa walala hoi badala ya kuwalipua akina JK, RA na EL
 
Nifahamuvyo mimi si hujuma toka kwa wanajeshi wa vyeo chini bali ni uzembe wa kudharau ripoti za watunza silaha kwamba mabomu yale yalikwisha muda wake wa matumizi hivyo yalihitaji kuteketezwa! Uteketezaji wa mabomu ni gharama na gharama ndiyo iliyokuwa ikipigwa chenga hadi siku za mwisho ambapo serikali ilikuwa katika mchakato wa kutaka kuyateketeza.
Kifupi nakujulisha JWTZ ndilo jeshi linalochukua mshahara mkubwa ukilinganisha na majeshi mengine yote ukiondoa UWT, sasa kama ni hujuma ingeanza kwenye majeshi mengine.
Kipimo cha kama ni hujuma lazima kutakuwa na muendelezo, time will tell ngoja tuvute subira.
 
Sababu za mabomu mbagala haziishi, ok tusubiri sababu nyingine.

Mungu atulinde wa-Tz, maana asipoulinda mji yeye aulindaye afanya kazi bure.
 
Wakulu natumai wote mko poa. Jana baada ya kurudi zangu nyumbani mida ya jioni nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa wa Jeshi la wananchi kambi ya Lugalo. Katika mazungumzo yetu tuliongelea kwa kirefu suala la milipuko ya mabomu kule Mbagala na hasa ya hivi karibuni kule kwenye ghala kubwa la silaha la Gongo la Mboto. ama kwa hakika nilishtushwa na jinsi mwanajeshi yule alipotabanaisha tena kwa kujiamnini kuwa kuna hujuma kwenye tukio la Gongo la Mboto. Alinieleza kuwa huko nyuma wanajeshi wa vyeo vya chini ama non-officers walikutana na mkuu wa nchi kumueleza tofauti za kimaslahi kati yao ma maofisa amabao wanapata mishahara minono na marupurupu kibao. Walimuomba mkuu ajaribu kuwaongezea mishahara maana wao ndio wapiganaji na wavuja jasho a kusiwe na gap kubwa kati yao na maofisa wanaoanzia nyota moja na kuendelea. kama kaaida yake mkuu wetu wa aliwajibu kwa kebehi na dharau kuwa kama wanataka mishahara mikubwa basi waende shule wakaongeze elimu!!! Jibu hilo halikuwaridhisha wapiganaji wa vyeo vya chini na wakaapa kufanya hujuma mpaka kieleweke na moja ya hujuma ni hiyo ya hivi karibuni ya milipuko ya Gongo la Mboto ambapo kwa mujibu wa jamaa yangu hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyepoza maisha achilia mbali kujeruhiwa. Akaendelea kutabanaisha kuwa tukio hilo ni cha mtoto maana mengine yatakuja tena ya kiwango kikubwa hadi kieleweke kwa kweli nilishtushwa sana. Akamalizia kwa kusema " mama mwenye nyumba akimnyanyasa msichana wa kazi basi akienda kazini house girl anamalizia hasira zake kwa watoto wake"

Kwa kweli kama jamaa anayosema ni ya kweli basi kazi tunayo na anasema bado kila Kambi yenye silaha tutegemee maukio kama haya... Naomba kuwasilisha...

Kama ndivyo hivyo hii itakuwa kali mimi sijawahi kuona. Baba anakunyima hela ya matumizi unaamua kuwageukia wadogo zako na kuanza kuwaua kwa kuwaunguza kwenye mafuta ya moto? Labda, you never know!
 
Kama wanajeshi wangekuwa na akili basi walipue makombora ya kigamboni na changanyikeni kwani yenyewe yana uwezo wa kufika ikulu. Ni upuuzi kama wanalipua kwa walala hoi badala ya kuwalipua akina JK, RA na EL
Kweli kabisa yale ndio yakulipuliwa!!!
 
Back
Top Bottom