Niliyotonywa baada ya kulonga na mwanajeshi LUGALO

wamechoka kupiga raia sasa wameamua kuwauwa kabisa kwa mabomu,tusubiri waanze kuuwa raia kwa risasi mitaani kama libya. nadhani kama ni kweli wanafanya kisasi basi wabogo tusubiri makubwa zaidi lugalo,changanyikeni nk.
 
Huyo mtoa mada wa Lugalo anaota mchana,au alikuhadithia anacho wish wanajeshi wa kada ya chini wafanye.
Kwa ufupi ni kuwa wanajeshi huwa wanaishi na kujenga nyumba zao binafsi ktk maeneo yote yanayozunguka kambi za jeshi.Gongo la mboto kuna familia nyingi za wanajeshi wastaafu na walio kazini.ukienda ulongoni,pugu,ukonga etc.hivyo siyo rahisi kwa wanajeshi wenye akili timamu kulipua mabomu wakijua wanaathiri familia zao na za marafiki zao.

Tatizo ni serikali kubana pesa na kuzipeleka ktk "mengineyo". hakuna record nzuri ya mabomu,hamna bajeti ya utunzaji na kurepea maghala ya silaha. Angalia Video ya rais alipotembelea kambi ya gongo la mboto.majengo yamechoka,bati lina kutu,hamna rangi .Jiulize je JEshi halina mafundi wa kufanya ukarabati na kupaka rangi?
angalia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
jamani,hii mishahara ya maofisa wa majeshi iko juu mno kwa mfano constable wa polisi,magereza,uhamiaji au private wa jw hupokea basic salary 230,000 baada ya makato take home inabaki 180,000 huku ofisa mwenye nyota moja hupokea basic laki 5 take home kama laki 420,000.na kuanzia kamishna msaidizi hupokea 1milioni na laki moja au mbili.mfano kuna NAIBU KAMISHNA hupokea 1.96milion kwa mwezi.amesahau hata kubeba bunduki,sisi tunabeba bunduki kila siku lakini kamshahara kaduchu.mmmhh...

Nakushauri kajaribu pale AZAM ambapo operator wa machine anayeshinda kwenye mitamba 24/7 analipwa 600,000/= na manager anayekaa tu ofisini na kushikashika makaratasi analipwa 150,000/=. Au hata kwenye klabu za mpira ambapo kocha analipwa 200,000/= wakati mchezaji anayekimbia uwanjani na kuhenya na mazoezi analipwa 1,000,000/=. I suggest kazi ya police haikufai ndugu.
 
Back
Top Bottom