Niliye mtongoza zamani ananitaka saizi

Wewe umeshamtafuna halafu unakuja kuomba ushauri!
Hakika nafsi yako imeshaamua cha kufanya na inaonekana kabida hapa jukwaani umekuja kutafuta back up tu.

Kipindi natafuna habari za kuaona hazikuwepo Mr
 
Shirikisha kichwa kikubwa kufikiri na sio kichwa kidogo;kinachokufanya utake kumuoa ni kwa sababu anakupa sex au kuna sifa zingine za ziada za kimaisha?
 
Inakera kwa kweli, ndiyo maana sikuweza hata kataa alipo jirahisisha....maana maumivu ya miaka ya kumfatilia ilikua bado yako moyoni
Ndio zawadi wanayoipataga toka kwa masela. Yani unapiga ilimradi tu maana inakuwa kama free papuchi tu ambayo hukuwa na mpango nayo, sahio hata hisia nae zilishakufa.
 
Shirikisha kichwa kikubwa kufikiri na sio kichwa kidogo;kinachokufanya utake kumuoa ni kwa sababu anakupa sex au kuna sifa zingine za ziada za kimaisha?

Kwa sifa za kimaisha ni wakaida tu, siyo mpambanaji sana wala siyo mzembe sana (50/50). Kwenye ishu ya misimamo sjui alipokua anakataa alitaka asubir ndoa au alikua hajanielewa vzuri kwamba alikua na mtu anae muwaza. But ye jibu lake lilikua mda bado et umri hauruhusu
 
Kwa sifa za kimaisha ni wakaida tu, siyo mpambanaji sana wala siyo mzembe sana (50/50). Kwenye ishu ya misimamo sjui alipokua anakataa alitaka asubir ndoa au alikua hajanielewa vzuri kwamba alikua na mtu anae muwaza. But ye jibu lake lilikua mda bado et umri hauruhusu
Kuwa tu makini kwenye maamuzi yako,jaribu kumpima katika mazingira mengine kama anaweza kuwa mke;tofauti na hapo tafuta ambao wako fresh.
 
Habari wadau wa JF,
Nikiwa sekondari (kidato cha 3) miaka 15 iliyopita nilimtongoza msichana aliyekua darasa moja nyuma yangu, hadi namaliza shule alikua amekubari lakin hakuwahi kuruhusu tupige show hata kushika maziwa tu alikua anagoma.

Advance shule zikawa maeneo jirani, lakini aligoma kuonana na mimi japo hta kwa salamu tu. Nilipofika chuo nikatafuta mwingine wakati yeye akiwa bado advance, huyu wapili hakuwa na shida za kuzingua tukawa tunapiga show za maana. Hadi yeye anamaliza chuo mwaka mmoja nyuma yangu tena bado sjawahi hata kuona brazia yake, lakin ndipo akajua kuwa nlishaanza uhusiano na mwingine, sjui kwa hasira au bahati mbaya hatukuwahi wasiliana tena hadi miaka kma mitatu iliyopita tukaanza kuwasiliana na nikajua tayari ameshapata mtoto.

Sasa amekuja kuniganda mwaka huu anataka tuendeleze mahusiano, na ipo siku alijirahisisha hadi nashow tukapiga. Akaeleza baba wa mtoto hayuko nae tena kaenda kuanzisha familia nyingine, mimi hadi saiz sjaoa bado, na nilishawaza kutafuta wa kuoa mwingine..... Je niendelee na plan ya kutafuta wa kuoa au nimchukue tu huyu, japo wazo la kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari sikuwahi kuwa nalo.Ushauri wenu pls
Huyo ni mke wa mtu mkuu
Yan kwa tafsil ndogo utamtunzia yule jamaa familia yake mkuu cku akirudisha majeshi yake ndo utakapoelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupuyanga huko na kutendwa ndio kaamua arudi kwako kukuuzia mbuzi,think twice mkuu hapo hamna mapenzi ya dhati
 
Hakuna kitu kinauma sana kwa mwanaume kama kuoa mwanamke mwenye mtoto.

Ni roho ngumu mno na yahitaji ujasiri.

Unaweza kumuoa ikawa shida, ukawa unamtunzia mama na mtoto mtu mwingine akawa anakula kiulaini hasa ukipata asiyejitambua.

Ila akiwa muelewa utamfaidi sana, maana atakuwa ameshajifungua.

Kaa naye kwa makini umsome na umuulize mkubaliane ili baadae usije ukajutia maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ameona tayari future ipo ila sasa mwingine ndo ana enjoy hiyo future na si yeye. So anatamani yeye ndo awe anaenjoy hiyo future.
Ndgu we kuwa na mkeo. Yeye abaki kujitadhimni na kujilaumu kwa nini alipoteza hiyo chance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom