Niliye mtongoza zamani ananitaka saizi

Niliye mtongoza zamani ananitaka saizi

Madem wa dizain iyo huwa napiga weee alafu nampotezea, maana kipind yupo kwenye ubora wake alijiona keki,saiv wahuni wameshamchakaza ndo anakutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe namba zake kwanza
Nionje nione
Ili nikupe ushauri mzuri
 
Habari wadau wa JF,
Nikiwa sekondari (kidato cha 3) miaka 15 iliyopita nilimtongoza msichana aliyekua darasa moja nyuma yangu, hadi namaliza shule alikua amekubari lakin hakuwahi kuruhusu tupige show hata kushika maziwa tu alikua anagoma.

Advance shule zikawa maeneo jirani, lakini aligoma kuonana na mimi japo hta kwa salamu tu. Nilipofika chuo nikatafuta mwingine wakati yeye akiwa bado advance, huyu wapili hakuwa na shida za kuzingua tukawa tunapiga show za maana. Hadi yeye anamaliza chuo mwaka mmoja nyuma yangu tena bado sjawahi hata kuona brazia yake, lakin ndipo akajua kuwa nlishaanza uhusiano na mwingine, sjui kwa hasira au bahati mbaya hatukuwahi wasiliana tena hadi miaka kma mitatu iliyopita tukaanza kuwasiliana na nikajua tayari ameshapata mtoto.

Sasa amekuja kuniganda mwaka huu anataka tuendeleze mahusiano, na ipo siku alijirahisisha hadi nashow tukapiga. Akaeleza baba wa mtoto hayuko nae tena kaenda kuanzisha familia nyingine, mimi hadi saiz sjaoa bado, na nilishawaza kutafuta wa kuoa mwingine..... Je niendelee na plan ya kutafuta wa kuoa au nimchukue tu huyu, japo wazo la kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari sikuwahi kuwa nalo.Ushauri wenu pls
Ameashaona ataweza kukucontrol yaani demu aliyeninyima mzigo miaka hiyo Mimi nkakaa na njaa. Yaani hapo ni kama alikunyima msosi. Chamsingi we endelea Kula mzigo mpaka ashike mimba akishajifungua temana nae. Tafuta demu mwingine halafu uoe yeye atakusaidia kukutunzia mtoto basi . Iwe ni Funzo kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kwa ushari huu

Kuna mpuuzi moja alinifanyia ushenzi na mm nika mkomesha saiv kina lialia tu wala siwezi kukionea huruma
😬😬😬😬😬😬
Hatari fire
 
Mkuu usiwe kama mdudu Chungu, huyo ni sawa na ganda la mua la jana halina utamu tena🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom