Niliweka rekodi Iringa > Dar

Kabisa...nazikumbuka zilikuwa za njano hivi....
Coach & Truck....
Dar>Iringa kwa nyakati zile ilikuwa fasta tu....Pia kulikuwa na Bus la Comfort Iringa>>Dar>>Iringa
12 usubuhi inatoka Iringa>>Saa 7 Mchana Inatoka Mnazi mmoja...na ilikuwa gari ya kawaida kabisa Isuzu MV 118.
 
Comfort Video Coach (CVC).

Aisee, kipindi kile Tahfif (Nissan Diesel UD) ilikuwa inatoka Nairobi mpaka Sumbawanga kwa siku 1 tu. Saa 10 jioni ipo Iringa, saa 4-5 usiku Sumbawanga
 
Wewe na mkeo ni wazungu wa nchi gani?
 
Comfort Video Coach (CVC).

Aisee, kipindi kile Tahfif (Nissan Diesel UD) ilikuwa inatoka Nairobi mpaka Sumbawanga kwa siku 1 tu. Saa 10 jioni ipo Iringa, saa 4-5 usiku Sumbawanga
Nilichojifunza zile gari zilikua nzito na balance ilikuwepo na madereva walikuwepo pia kusikia ajali ilikua nadra sana unakuta gari inatoka daslm mpka Lusaka ikifika Intercity wazambia wanaenda kupiga nayo picha Scandinavia ila leo wana vyuma ambvyo sisi hatuna mbaya sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…