Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,958
- 103,045
Kumbe,wanaobisha 504 kutumia masaa matano Iringa -Dasalama,have got big "problems onto their behinds"!Giriki ni miaka ya tisini kati....Iringa anapita mida ya saa 5 kasoro usubuhi...goma mida ya saa 8 kasoro lishatinga Mbeya.....mpaka tairi zinanuka,,,,,,halafu likikolea speed linakuwa kama laenda upande upande...kama vile limekata Center bolt kwa mbaali.
(Wapi Bazuuu....Alah wasalaam Saitama JApan....zis is anaza store),,
Mimi sikimbii ila naweza kutoka leo saa kumi jioni SA na Hilux ya 2023 kama karatasi za mipakani ni masaa mawili kazungula na hapo Tlokweng naweza kufika Tunduma kesho kutwa usiku nishawahi fanya hivyo ila sasa hivi naenda mwendo wa kawaida sana..Kumbe mfano hai upo ingawa mimi niliongeza masaa mawili zaidi?Sasa,kwa guruwe 504 kutoka "Iraq hadi Darusalaam" kwa masaa matano kuna ajabu ipi?Enzi za (miaka ya 1995-)Matema,Twiga n.k. Dar to Iringa mabasi yalichukua masaa matano hayohayo kufika kwa Mwagongo kuonja ulanzi fresh kutoka Tanangozi.Hakuna cha ajabu!
Kulikuwa na basi inaitwa OKOA Border to Border inatoka .....TUNDUMA jioni...kesho yake jioni ipo NAMANGA.Mimi sikimbii ila naweza kutoka leo saa kumi jioni SA na Hilux ya 2023 kama karatasi za mipakani ni masaa mawili kazungula na hapo Tlokweng naweza kufika Tunduma kesho kutwa usiku nishawahi fanya hivyo ila sasa hivi naenda mwendo wa kawaida sana..
Nishatoka Tunduma mpaka daslm watu niliowapakia walianza kupiga story baada ya kufika Morogoro miaka hiyo gari chache harafu mwendo wa ngiri..
Kiswele engine nyuma unalikumbuka na Matema beach..Kulikuwa na basi inaitwa OKOA Border to Border inatoka .....TUNDUMA jioni...kesho yake jioni ipo NAMANGA.
Muda aliotaja mleta mada wa kawaida Sana.Kama kuna basi la abiria lilitoka Dar saa 12 asubuhi na kufika Mbeya saa 10 jioni,hapo nini shida?
Imenishangaza baadhi ya members kuona kama ni kyai kya rangi au ni urongo tu!Muda aliotaja mleta mada wa kawaida Sana.
Tumetumia muda huo na basi za abiria Dar - Iringa mara nyingi miaka ya 2000 mwanzoni.
Nyuma iliandikwa "ZipompaPompa"..Okoa alikua tajiri sana ila alipofariki na mali zikapotea walikua wanaishi Uzunguni Mbeya.Kulikuwa na basi inaitwa OKOA Border to Border inatoka .....TUNDUMA jioni...kesho yake jioni ipo NAMANGA.
Mliachiwa mmalizie ..."zipompile papaa"...!Nyuma iliandikwa "ZipompaPompa"..Okoa alikua tajiri sana ila alipofariki na mali zikapotea walikua wanaishi Uzunguni Mbeya.
Yote nayakumbuka...Kiswele ilikuwa na kama vi ventilation vinazunguka kwa juu.....Matema Beach si ya ''Mwanangu" Charles Pera?......Halafu kulikuwa na MWENDO WA SAA...supu ya mawe iga ufe.....n.k n.k..Kiswele engine nyuma unalikumbuka na Matema beach..
Yupo dogo mmoja tunamwita Mwarabu wa Mwananyamala alikua akitoka na gari Mbeya saa tatu usiku saa kumi kasoro anapiga simu kafika kwake Tegeta unaongea na mke wake huyo mzala hata akikupa lift ya bure haupandi..Imenishangaza baadhi ya members kuona kama ni kyai kya rangi au ni urongo tu!
Pera ni matajiri kama wahindi tu hao nadhani mdogo wake pera ndio tunapiga nae mishe SA anauza kipodozi hapo Iringa ni mbishi wa maisha balaa..Yote nayakumbuka...Kiswele ilikuwa na kama vi ventilation vinazunguka kwa juu.....Matema Beach si ya ''Mwanangu" Charles Pera?......Halafu kulikuwa na MWENDO WA SAA...supu ya mawe iga ufe.....n.k n.k..
Si mchezo ..kuna watu wanatembea na gari...Yupo dogo mmoja tunamwita Mwarabu wa Mwananyamala alikua akitoka na gari Mbeya saa tatu usiku saa kumi kasoro anapiga simu kafika kwake Tegeta unaongea na mke wake huyo mzala hata akikupa lift ya bure haupandi..
Kuna dada alikua anawahi daslm akataka gari ya faster akaambiwa mwarabu atapita Soweto atakupitia akakubali ila aliambiwa jamaa anaruka huyo sio kwamba anakimbia yeye akakubali ila mpaka leo ukikutana nae ni mama sasa hivi anauliza yule kijana yupo masaa saba daslm na BMW X 5 ndio zinatokatoka na walipofika Moro alitamani ajishushe pale muhuni anamwambia twende usiogope..
Hayo magari ya SA yangekua mabovu yasingekua yanafika salama Daslm kuna muhuni mmoja katoka SA siku tatu zilizopita leo yupo daslm..Si mchezo ..kuna watu wanatembea na gari...
Kuna siku nilipanda IT kutoka maeneo ya Ubungo kwenda Iringa.....Yule dogo anakimbia na gari mpaka masikio yakaziba.....Ubungo tumetoka saa 3 usiku,,akaniacha Ipogolo saa 8 usiku....kuwapigia wenyeji wangu...hawaamini wakajua mie mwanga nimepaa na ungo......
Christian au Otumali?Pera ni matajiri kama wahindi tu hao nadhani mdogo wake pera ndio tunapiga nae mishe SA anauza kipodozi hapo Iringa ni mbishi wa maisha balaa..
Christian Pera.Christian au Otumali?