muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,084
- 15,273
Genz wa humu kweli wanapochangia mabandiko yako wawe na heshima aisee....Wengi 1986 hata mimba zao bado kutungwaNi mwaka 1986 na PEUGEOT 504
Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi
Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.
Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.
Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.
Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......
Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.
Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,
Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.
View attachment 3678799
YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Kiwanda bado kipo?, Huku Africa soko limekamatwa na Wajapani.Pijo 504 hatatii
Guluwe..Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504
Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi
Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.
Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.
Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.
Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......
Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.
Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,
Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.
View attachment 3678799
YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Kama kuna basi la abiria lilitoka Dar saa 12 asubuhi na kufika Mbeya saa 10 jioni,hapo nini shida?Bro washike maboya
Kilaza mie Sijaelewa ! Naomba mwongozo !
Nilikuwa dereva tu.....504 ilikuwa ya tajiri mmoja Mchagga.Ulikua Tajiri kitambo unamiliki gari ambayo walikua wanatumia viongozi bwashee mwaka 1986 mimi huyo nguruwe nilinunua mwaka 2003,4 SA kwa rand 2000 tu kwa muhindi la kwenda nalo job manual lilikua linatumia carburetor lina bodi zito balaa baadae nikakimbia nalo kuliuza Mbeya ndio gari yangu ya kwanza kuileta Tanzania..
Hata askari magereza niliemuuzia gari yangu ya kwanza aliipeleka Moshi tulifanya biashara Mbeya aliipeleka kipindi cha sikukuu baadae akaniagiza Stout sikuipata ile Toyota...Nilikuwa dereva tu.....504 ilikuwa ya tajiri mmoja Mchagga.
Hilo lilichelewa dereva giriki shombe shombe alikua anafika Mbeya saa nane abiria wanashukia kituo cha polisi alipigwa marufuku kupita Iringa ndio ikawa mwisho wake wa kuendesha Bus na kuhamia kwenye maroli ya kwake nwaka jana alikua Mbeya pale Mwanjelwa watu walijazana sana wanaomjua maana jamaa alikua balaa na hajawahi kupata ajali mimi nilisema sipandi bus analoendesha Giriki au jamaa mmoja walikua wanamwita Tall Mnyakyusa wa Abood..Kama kuna basi la abiria lilitoka Dar saa 12 asubuhi na kufika Mbeya saa 10 jioni,hapo nini shida?
Hivi hizi gari ni za Muitaliano???Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504
Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi
Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.
Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.
Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.
Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......
Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.
Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,
Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.
View attachment 3678799
YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Italy walikua na fiat ndogo pia hizo ni Ufaransa..Hivi hizi gari ni za Muitaliano???
Jamaa anatuona kama matako yake.Peugeot 504 gani ina speed ya 200kmh?
Giriki ni miaka ya tisini kati....Iringa anapita mida ya saa 5 kasoro usubuhi...goma mida ya saa 8 kasoro lishatinga Mbeya.....mpaka tairi zinanuka,,,,,,halafu likikolea speed linakuwa kama laenda upande upande...kama vile limekata Center bolt kwa mbaali.Hilo lilichelewa dereva giriki shombe shombe alikua anafika Mbeya saa nane abiria wanashukia kituo cha polisi alipigwa marufuku kupita Iringa ndio ikawa mwisho wake wa kuendesha Bus na kuhamia kwenye maroli ya kwake nwaka jana alikua Mbeya pale Mwanjelwa watu walijazana sana wanaomjua maana jamaa alikua balaa na hajawahi kupata ajali mimi nilisema sipandi bus analoendesha Giriki au jamaa mmoja walikua wanamwita Tall Mnyakyusa wa Abood..
Kumbe mfano hai upo ingawa mimi niliongeza masaa mawili zaidi?Sasa,kwa guruwe 504 kutoka "Iraq hadi Darusalaam" kwa masaa matano kuna ajabu ipi?Enzi za (miaka ya 1995-)Matema,Twiga n.k. Dar to Iringa mabasi yalichukua masaa matano hayohayo kufika kwa Mwagongo kuonja ulanzi fresh kutoka Tanangozi.Hakuna cha ajabu!Hilo lilichelewa dereva giriki shombe shombe alikua anafika Mbeya saa nane abiria wanashukia kituo cha polisi alipigwa marufuku kupita Iringa ndio ikawa mwisho wake wa kuendesha Bus na kuhamia kwenye maroli ya kwake nwaka jana alikua Mbeya pale Mwanjelwa watu walijazana sana wanaomjua maana jamaa alikua balaa na hajawahi kupata ajali mimi nilisema sipandi bus analoendesha Giriki au jamaa mmoja walikua wanamwita Tall Mnyakyusa wa Abood..
"paujhoo"!Ni Mfaransa...(.Peugeot),,lakini inavyotamkwa,,,,balaa!!