Duh....we ndo umepotea njia aisee. Mi nlimwazima soksi (siyo za madaburini), tangu mwaka juzi hajanrudishia....zile raba kaazima Ze finest! kasema anataka kumtokea blaki womani lakini wallet hairuhusu! nilimkatia na jero ya togwa. Halaf jamaa nuksi kweli, akiazima spare wiki anakaa nayo mwezi.
Usinipite Daughter, unipitie, unapoenda kudhuru kwa babu usinipiteeee!babu nikukute wapi leo usiku?kumbuka tunaswali talawee
Fello tablet, we si nlikuacha Husninyo? Unataka kumfanya nini Keren wangu?
Na si unajua nilivyo na subira? ............waiting!
Jibu PM yangu, nshakuelekeza kituo. Hapa wanga wengi............
Kwa babu ni pazuriiii ndugu tunapokaaa, tukipatana vyemaaa na tukipendanaa,Hahahaha......kwa babuuuuu kuna makao mazuri sanaaaaaa.........kuna makao mazuri sanaaaaa!
Hahahaha......kwa babuuuuu kuna makao mazuri sanaaaaaa.........kuna makao mazuri sanaaaaa!
Waache wajukuuu wote waje kwangu kwa maana joto la babu ni mali yao.
Yaani ni kama nimeona mwezi vile......kidogo nifungulie kabla ya jioni...lol!
Mzima wewe lakini?
Hebu mwambie bana babu...maana yeye anaondoka hata kuaga haagi...anategemea mimi ningebaki na nani..🙂
Ewaaaaa,sitakupita mpendwa ntakupitia twende wote kwa babu
kwa babu kuna raha ya ajabu
Khaaaa! mkiona kimya mjue nimepoteza faham ghafla
Orayt.......This one is noted and filed.......
Pearl naomba nipigie.........:hungry:
Babu nimekupigia weeeeeeeeeee mpaka nimechoka,ur tigo 4n is offfffffffffffffffffff,au umeme umekatika kwenye cm?
Babu DC, Uchokozi huo sasaEti nini??????????????
Babu DC (1947)!
Njoo nazo tu mpendwa. Kama huna, ntakupa ya kwangu.
<br />Na si unajua nilivyo na subira? ............waiting!<br />
<br />
Jibu PM yangu, nshakuelekeza kituo. Hapa wanga wengi............
<br />Hahahaha......kwa babuuuuu kuna makao mazuri sanaaaaaa.........kuna makao mazuri sanaaaaa!