Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Wakuu kwa kweli ushamba ni mzigo wakati tunakua kua yani tuwadogo niliwah kuwaza kuwa kuna nguo maaluma za kuvaa ukiwa dar kuna nguo lazima uzivae yani nzuri au lazima uwe na nguo special za kusafiria, kutokana na hali duni baadhi yetu miaka hiyo niliwaza ivi kweli ktk nguo zangu zote kuna nguo ya kuvaa kama ntaenda dar es salam? Yani nikikumbuka natabasamu kweli ushamba mzigo