Niliwa-MISS-je. . . .

Niliwa-MISS-je. . . .

Lizzy, nasikia ulienda kijijini na yule binti wa Unga Limited, umemuacha wapi?
Karibu tena, michango yako inahitajika.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy kwanini uliondoka kimya kimya jamani ungeniambia nikakusindikiza kijijini tukajifarague......wangu hata sijui nikuelezee vipi furaha niliyonayo kwa kurejea kwako..........naandaa mbavu zangu!!!

Kwa ufupi tu naanza kukupa umbea kama ifuatavyo:-
Kabla sijaanza naomba nikutambulishe kwa wake wenzangu BADILI TABIA na cacico (mume wetu utamjua kadri siku zinavyokwenda)

Bishanga amesutwaaaaa sanaaaa na kina Zinduna teh teh teh ulikua msuto wa mwaka 2012
Erickb52
anafatia kusutwa, bora umerudi utanisaidia kuandaa huo msuto
Asprin
ana wake watatu yaani we acha tuuuuuu.....huku anaendelea kuwakagua vitukuu(wajukuu alishawamaliza)
Kaizer
amejivua uchungaji rasmi akisaidiwa na AshaDii no 2
Kongosho
inabidi tumpige faini maana haeleweki sikuhizi mara yupo mara hayupo
Nyani Ngabu
aliniPM akasema alikua na wewe maeneo flani hivi.....:tape2:
Kipipi
hana lolote kila siku alikua anaomba urudi uwashikishe adabu kina fidenge
Kuna binti mpya anaitwa Catherine naomba uchunge sana amekuja kwa spidi 1000000000000
sweetlady, Smile, Preta walikua wanaomboleza walijua umesha resti in pisi

Naomba niishie hapa umbea mwingine nitakuPM staki kumwaga mtama kwenye vifaranga mie:A S wink:
 
Hahahaha! Yummy hiyo speed yangu ni ya kutype? Mbona posts zangu bado chache.!
Lizzy karibu tena. Pole kwa safari & naomba zawadi za kijijini.
 
Catherine..zawadi yako kaniachia...ntafute nkupe. Yummy..wa tatu kwa kusutwa wewe...looh. Una bahati hujanimention ningesema ulivontongoza kwa pm...ooooops.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy kwanini uliondoka kimya kimya jamani ungeniambia nikakusindikiza kijijini tukajifarague......wangu hata sijui nikuelezee vipi furaha niliyonayo kwa kurejea kwako..........naandaa mbavu zangu!!!

Kwa ufupi tu naanza kukupa umbea kama ifuatavyo:-
Kabla sijaanza naomba nikutambulishe kwa wake wenzangu BADILI TABIA na cacico (mume wetu utamjua kadri siku zinavyokwenda)

Bishanga amesutwaaaaa sanaaaa na kina Zinduna teh teh teh ulikua msuto wa mwaka 2012
Erickb52
anafatia kusutwa, bora umerudi utanisaidia kuandaa huo msuto
Asprin
ana wake watatu yaani we acha tuuuuuu.....huku anaendelea kuwakagua vitukuu(wajukuu alishawamaliza)
Kaizer
amejivua uchungaji rasmi akisaidiwa na AshaDii no 2
Kongosho
inabidi tumpige faini maana haeleweki sikuhizi mara yupo mara hayupo
Nyani Ngabu
aliniPM akasema alikua na wewe maeneo flani hivi.....:tape2:
Kipipi
hana lolote kila siku alikua anaomba urudi uwashikishe adabu kina fidenge
Kuna binti mpya anaitwa Catherine naomba uchunge sana amekuja kwa spidi 1000000000000
sweetlady, Smile, Preta walikua wanaomboleza walijua umesha resti in pisi

Naomba niishie hapa umbea mwingine nitakuPM staki kumwaga mtama kwenye vifaranga mie:A S wink:

Alafu we Yummy wewe..!!!
 
Catherine..zawadi yako kaniachia...ntafute nkupe. Yummy..wa tatu kwa kusutwa wewe...looh. Una bahati hujanimention ningesema ulivontongoza kwa pm...ooooops.

Naona umeamua kujitaja mwenyeweee Lizzy huyu jamaa Mentor kwa siku alikua ananitumia PM si chini ya 30 naomba unisaidie kumuuliza alikua ananitakia nini????!!!khaaaa alinchoshaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom