Nilivyoyanusuru mahusiano ya jamaa zangu

Wakuu mie sio HB na sijipigii pande bali tabia zangu za upole na u charming zimenifanya nipate marafiki wengi wa jinsia tofauti, Those who raised The benefit of doubt kama najifagilia ningeweza weka s.shots humu za sma za tangu 2019 hadi sasa, ila naona uvivu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Weka hizo sms tuamini.
Tembea nazo, huyo S na hio nyingine ni mtu mbili tofauti.View attachment 1813508View attachment 1813509View attachment 1813510View attachment 1813511View attachment 1813512View attachment 1813513View attachment 1813514View attachment 1813515
IMG-20210609-WA0004.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nilivyokuwa mtoto hizi hali zimewahi kunitokea Mara kadhaa, mwanzoni nilidhani ni kweli wananitafuta ili niwashauri kuhusu Jamaa zao. Baadaye nakuja kugundua kuwa lengo lao walitaka niwale, ila ilikuwa late tayari..
 
mkuu unaweza kula shemeji yako kweli, mie siwezi kaka.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
haina makombo sio, labda lakini sifikirii kula nje ya mpenzi wangu. Kila nkijaribu chepuka na feel guilty naacha

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Anatakiwa huyo mpenzi wako akupige mtoso kisha utapata akili! Hata sisi kaka zako mwanzo tulihisi kuchepuka ni ukichaa flani ila kadri maisha yalivyotuonesha upande wa pili tulijikuta tumeunga tela tu sahii ni mwendo wa kuchapa tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom