Kweli kuna baadhi ya wanawake wa ajabu wanabambikiza wanaume zaidi ya mmoja mimba. Kuna mwanamke mmoja kawabambikiza wanaume wawili mimba na wote wanalea mtoto aliyezaliwa. Hawajuani na hawajawahi kuonana. Mwanamke ametengeneza kadi mbili za kliniki zenye majina mawili tofauti....anapiga hela za matunzo kutoka kwa wanaume wote wawili. Sijui hatima yake itakuwa nini. [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Mtoto niimani mwanamke akishakwambia kuwa mimba/mtoto niwako basi huna haja yakukataa kwamaana amekuamini na ndiomana amekukabidhi kiumbe. Wabaya wale vigeugeu mimba mnapewa wanaume zaidi yammoja ni hatariii sana
Tuko wawili ndani ushindwe kunipa mkojo, unaingia bafuni unakojoa napima.Huyo mwongo, mkojo wa mtu anaukingaje kirahisi hivo, tena mtu aliyedhamiria.
Walikuwa walikataa navaa sura ya kanda maalum, anauleta mwenyewe.Mkuu walikuwa wanakubali kutoa mkojo huku wakijua kuwa wametOmbwA kavu na wanaume wengine? Wanawake wana akili ndogo sana I see!!
Huyo balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilinitokea mara moja,nilikutana na mrembo tukaanza mawasiliano tukahave sex,ila lengo lake nilijua maana kila siku yeye ni kutaka hela tu hamna mambo ya msingi, akaniona mbahili akanipiga chini kila mtu akaendelea kivyake.
Baada ya miezi nne ikatokea siku akanitafuta na kuniambia nimemiss mambo yako kama upo kwako nakuja(nikajiuliza inakwaje wakati kila siku huwa namforce leo anataka mwenyewe?)shetani mbaya nilikuwa nakunywa bia zangu mbili,nikamwambia njoo,akaja na rafiki yake nikawapatia vinywaji hadi wamelewa.Nikaenda kuoga,nikasikia anamropokea mwenzake "baada ya lisaa we ondoka yule jamaa si kakataa hii mimba lazima nimsingizie huyu nalala huku huku leo".
Mwenzake aliondoka yeye akabaki,yaani mi niliposikia hivo hata mood ya sex sikuwa nayo,tulipoanza kulala akaanza romance gafla kashavua kyupi pembeni,nikamwambia leo sina mood kabisa ya sex,dah alilazimisha mi nikagoma kabisa.Kesho yake anataka kubaki tena nikamwambia mi sasa hivi nina mtu si uliniacha,anakuja mda si mrefu please asikukute.
Aisee hakunitafuta tena hadi leo na analea mimba yake mwenyewe.Sasa je nisingesikia wanaropoka na tukasex ,angerudi baada ya mwezi ningepokea matokeo kwa mikono miwili.
Hivi mpo wawili ndani unaweza katalia mkojo wako?Porojo nyingi sana aisee
huelewi unachokijibu
Yaani mama huoni kama hapo tu kuna tofauti kubwa sana,
Yaani huyu mwanamke anajua kabisa mtoto sio wake na hahusiki nae hata kidogo na akakubali kumlea
Ni tofauti kabisa na kuaminishwa huyu mtoto ni wako kumbe sio
Bahati mbaya sana huwa hamfungi bakuli mtaropoka tu siku moja kwamba sio wake huyu mtoto
Mwanaume akipiga mimba itakuwa ni makubaliano kuja kulelewa home kama mama atagoma kumlea basi ataishi na mama ake huko aliko
Du! Heshima kwako mkuu. Ina maana walikuwa wanapanua mapaja unagema mkojo mwenyewe au walikuwa wanagema wenyewe? Nakukubali sana kiongozi wangu. Hivi ndivyo mwanaume unavyotakiwa kuwa, vinginevyo sasa hivi ungekuwa unalea watoto 3 wa wanaume wenzako. Hatariiiii!!!! 🙄 😳 😎😵😡Walikuwa walikataa navaa sura ya kanda maalum, anauleta mwenyewe.
Huyo balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akikataa kulea mtoto wangu wa nje nitamuelewa kabisa, matendo yangu (mazuri au mabaya) yasiwe obligations kwake. Ni hiari yakeUmeshasema wamekubali kulea baada ya kujua hali halisi ila siyo kabla kwahiyo na ninyi mkizaa nje wake zenu wakakataa kulea watoto wenu wa nje mtawaelewa?
Akikataa kulea mtoto wangu wa nje nitamuelewa kabisa, matendo yangu (mazuri au mabaya) yasiwe obligations kwake. Ni hiari yake
Lakini kusingiziwa mimba Ni HAPANA. Niambie ukweli kuwa una ujauzito na sio wangu basi nibaki na options.
watonye aiseeKuna mwanamke namfahamu kasingizia mtoto kwa wanaume wawili. Anakula tu mpunga.
Kuna mwingine namfahamu kasingizia mimba kwa jamaa, kaona msababishaji hana future basi akasingizia kwa mwingine.
USICHANGANYE MA FILE KWA KUTAKA KUSHINDANA, PIA HAO WANALEA WANAJUA FIKA WAZI SIO WAOAU WA MICHEPUKO SIO KUDANGWANYWA KUWA MIMBA YAKO AU MTOTO WAKOMbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
USICHANGANYE MA FILE KWA KUTAKA KUSHINDANA, PIA HAO WANALEA WANAJUA FIKA WAZI SIO WAOAU WA MICHEPUKO SIO KUDANGWANYWA KUWA MIMBA YAKO AU MTOTO WAKO
sasa hapo ndio yes au no lakini hakuna kulaghaiwa..kama ambayo wanalea wetu au wengine hawatakiNdo maana nimeuliza swali hapo juu kuwa je wake zenu wakianza kuwaambia ukweli kuwa watoto siyo wenu ndo mtakubali kuwalea?
sasa hapo ndio yes au no lakini hakuna kulaghaiwa..kama ambayo wanalea wetu au wengine hawataki