Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,464
Ndio mwenye biashara yakee nn? Af ilipendwa sana na wahindi na waarabuHuyu mdosi alikua balaa
Kabisa mkuu,hii kama ingekuwepo tz tusingekuwa mil 60Haha tunajiandaa kwenda prepo baada ya kutoka kwenye msosi wa jioni form two hiyo. Mwana sijui kaipata wapi akaja room akatugawia kidogo kidogo, nikajichanganya na kumeza mate mamaweeee😫😫😫 🙌
Hakika vitu vingine si vya kugeza😂😂
Hivi uhindini bado inatumika kama kilevi? Nilikuwa na rafiki zangu toka India, kiingereza kwao ni cha kuokota, ndugu yao ndio alikuwa akisimama Kama mkalimani walikuwa wanatafuna aina nyingine ya kilevi kifafanacho na kuber toka huko kwao India juzi juzi tu hapa. Nadhani watakuwa wameirudisha katika package na brand tofautiToka siku hiyo niliiogopa sana hata watu walioitumia, nashukuru serikali ilikuja kuiharamisha miaka ya 2007 ikawa dawa za kulevya, mim naaamini kaabisa kuberi ilichanganywa na dawa za kulevya
Na nasikia ilikuwa inapunguza sana nguvu za kiume🤣🤣Kabisa mkuu,hii kama ingekuwepo tz tusingekuwa mil 60
Kuber haitafunwi hiyo itakuwa ParikiHivi uhindini bado inatumika kama kilevi? Nilikuwa na rafiki zangu toka India, kiingereza kwao ni cha kuokota, ndugu yao ndio alikuwa akisimama Kama mkalimani walikuwa wanatafuna aina nyingine ya kilevi kifafanacho na kuber toka huko kwao India juzi juzi tu hapa. Nadhani watakuwa wameirudisha katika package na brand tofauti
Ndio maana nikasema labda imekuja kwa mtindo mwengine maana na ile inalewesha, walitaka wanipe nikagoma🙌Kuber haitafunwi hiyo itakuwa Pariki
Niliwahi kutumia Kuber na Pariki piaNdiomana nikasema labda imekuja kwa mtindo mwengine maana na ile inalewesha, walitaka wanipe nikagoma🙌
kuberi ndo nini??Kuberi sijawahi tumia ila niliona jinsi ilivyoharibu watu wa karibu. Hii ikirudi taifa litapotea..
Bora bangi asee kuber ilikuwa balaaDah serikali izirudishe tu…maana vijana saivi wametumbukia kwenye bangi tu
Ni aina flan ya tumbaku lakini ilikuwa blaakuberi ndo nini??
jitusue unuse nguo ya ndani ya mwenye gono au chlamydia uone kama hutoacha huo uraibu kwa vundo utakalokutana nalo.Pole sana, uraibu ni noma good thing hiyo kitu haikukuteka akili,...halafu siku hizi ukiachana na uraibu wa kunusa gundi, spirit na kemikali nyingine, kuna huu urahibu wa kunusa nguo za ndani za wenza wao naona unakuja kwa kasi ya 5G
Ukiniamkia shikamoo naweza kukwambia Kuberi ni nini😀kuberi ndo nini??
shikamoo kaka😂Ukiniamkia shikamoo naweza kukwambia Kuberi ni nini😀