Nilivyokoswa koswa kuuawa mara kadhaa?

Nilivyokoswa koswa kuuawa mara kadhaa?

Naam habari wakulungwa mabaharia wa nchi kavu na majini mpaka angani, ni miaka imepita toka niponee kuuawa mara kadhaa na raia na wachawi na rafiki zangu.

Shida inaanzia nlipokuwa bwana mdogo, nilikuwa nashine sana karibu kijiji kizima sifa zangu zilienea sio wakubwa wala wadogo.

Muda wote nilizungukwa na marafiki mabraza wakubwa pia walikuwa wananisikiliza. Stori zangu nilikuwa mdogo lakini nilikuwa na swaga za kikubwa' nilikuwa hodari wa kusimulia kitu mpaka kikaeleweka.

Kwakweli nilipendwa visenti vya pipi pipi nilikuwa sikosi kutoka kwa mabroo wakubwa wakubwa walipo kuwa wananiagiza mambo yao.

Shida ilianza pale nilipofika la nne, nilipiga mtihani wa mock nikawa wanne wilaya nzima na wa pili kwa shule.

Bhasi kipindi matokeo yanatoka mimi nilikuwa mjini, shule ilifungwa. Basi bwana nliporudi nikapewa taarifa hizo na sista zangu zawadi walishazitumia.

Miaka ikasonga nikatoboa la saba hapo ndo shida ikaanza nikarudi kitaa, familia ikawa imehamia mjini nikabaki mi na brazang mmoja. Nasista zangu

Life likaendelea nakumbuka siku moja tumeenda kupiga kibarua cha kusomba mchanga mimi brazang na sista mimi niko mbele kichwani nimebeba mchanga kwenye kiroba.

Nikateleza nikaangukia makalio huku mchanga uko kichwani shingo ikazama ndani hapo nimetoa macho kifo nakiona hichi hapa.

Nilishikwa na kiu toka nizaliwe sijawahi shikwa brazang amefika namu muonyesha ishara aniletee maji bahati nzuri nyumba ilikuwa mbali.

Akanirudia huku wakaanza kunikanda kanda shingoni baaada ya muda nikajiskia poa..sijabeba tena mchanga huko baadae usiku akaja.

Mzee mmoja ana nyumba karibu na pale nilipoanguka. Anaulizia anaendeleaje huyu wakamwambia hajambo kakasunya kaka ondoka...

 Baadae tukaja gundua kale kazee ni kachawi balaa kalikuwa kananitaka kunikill...na kama wangenipa maji ilikuwa nife...

Life likasonga siku moja niko nyumbani peke yangu nimejilaza tu mlango nimeacha wazi, saa kumi na moja hivi

Nikashikwa na kizungu zung naona nyumba inazunguka nilitambaa..hadi nje kifua wazi nkakimbia mpaka kwa jirani nikajitupa kwenye pipa lamaji..kama kichaa

 Jirani akatoka akanichomoa kuniuliza hata sielewi naona marue rue tu naona mawatu hata sielewi meus yamejipaka mavitu meupe yananiita kwa ishara. .

Nikamkumbatia jirani kwanguvu ..badae browang na ssta walivyorud nikawaeleza ikabd wanisafirishe mjin kwa wazazi.. part 2 nilivyochomolewa na wachawi kwenye neti.
Me:-We ndo umesema unajua kuelezea kitu mpaka kikaeleweka?
Yeye:-Ndioo
Me:-Na hapa nani kakuandikia, maana havieleweki.
Yeye:-😬😩😩
 
Leta story kikubwa unaeleweka, hayo ya uandishi waachie kina taikon wa fasihi.
 
Part:3
HEKA HEKA ZA KUSAKA UNYAYO WA KIGAGULA KIBABU MCHAWI..

Naendelea..bhas bhana mungu si athuman nikafaulu fresh form 1..nikaingia nikaendelea kupiga msuli kwa hasira mambo yalitulia ikakatika kama mienzi mi4, kile kizee sijakitia machoni

Life likasonga masister wakamaliza skul wakaenda mjin. .nikabaki nabro nikaingia form2 , karbumock na tatizo likaanza naumwa kichwa balaa mgongo unauma balaa tumbo nalo..nikawapigia mjini nikawaeleza nakufa huku

Safari hii dingi akaja akanipeleka hospital, nikakutwa na malaria nkapewa dawa dingi akasepa town..kipindi hiko hata wazo lakufatilia ule unyayo nisha sahau cjui yule mzee alinisahaulisha...

Mtihani wa mock ukaja nikapiga fresh tukafunga nikawa nipo tu nabro..anakula kuberi balaa mikipindi hiko sina mambo mengi zaid ya mpira na vidili vidogo vidogo vya pesa...

Nakumbuka skumoja niko napiga kaz ya tofali mchana kile kizee kikapita

mwenzangu aka msalimia minikauchuna kaka simama wembona hunisalimii nikasema nimekusalimia babu...kaka nikazia macho -alaf we unaonekana jeuri nawazazi wako ilangojeni..kakaondoka

Minikapotezea kazi ikaendelea mwezang akaondoka minkabaki mwenyewe nkajilaza chali kifuawazi kwenye mchanga

Nikapitiwa na usingizi kama dk 45..nikashtuka mwezangu amesharud anaendlea nakaz akaanza kunisimulia..

Wekipindi umelala yule mze alirudi akakutazama sana mda mrefu akondoka.
Minkapotzea tu tukaendlea nakaz mpk sakumi na 1.nkaenda nyumbani kuoga

Nikaoga nikaingia kujipumzisha nkapitiwa nakanusu usingiz nikaona kama lijitu la ajab linatembea kwa kuruka linakuja nilipo lala nikashtuka likapotea hapo moyo una dunda kinyama. ..

Nakumbuka nimekaa kama wiki nkaanza kuumwa umwa kama kichaa sikichaa. .yaan situlii nakimbia kimbia mara naenda porini nalala uko bro akija anantafta anankuta nipo porin..nikaendelea kama siku3 ikabd bro awapigie mjini bimkubwa akasema taften unyayo wayule, kizee kazi ikaanza yakukalia rada kazee..

Kila tukiweka mtego kuka fatlia kakipita tukiangalia nyayo hamna tukasumbuka sana lakin wapi kigagula hakiachi unyayo nikiangalia ndonazid kuchanganyikiwa

Ikapita kama wiki 2..skumoja kakawa kanapita kwenda shamban kukata ndizi kakipita kumbe wazee tupo migombani tunakalia timing.

Kakazunguka hatimae kaka kata ndizi hako ndizi begani tena kako peku tukanyata mungu mkubwa tuka pata kalipo kanyaga chap tukachota weka kwenye mfuko tukakimbia. .tuka weka kwenye droo tunasubir kupeleka kwa mganga. .

Tumekaa kama siku4 ..usiku tumetoka, kuangalia mpira kama Saa4 -5 tume karbia nyumban ghafla tunaona jitu limevaa nguo nyeupe kichwa kama chambuzi lipo nje kwetu..minilikua nyuma ya bro alishakula kuberi zake akasema tulia. .

Leo tunaua mihapo na tetemeka bro akachomoa panga akasema weku. .mma unafanyann hapo huku analikimbilia minko nyuma yake..kanyanyua panga

Lile jini likawa linakimbia kwa staili yakuruka mguu moja hapa kule bro akarusha panga likapita...

Lile lijini likakimbia likapotelea kwenye shamba layule kazee kuna makaburi tukaskia kishindo namwanga mkali pale makaburin..tukaondoka kurud nyumbani
(Hili lilikuja kumletea shida bro yamguu )

Zikapita siku kadhaa ukatokea msiba wa bamkubwa...ikabd tuende kama watoto wanyumban kusaidia kazi kazi kuweka viti kuweka maturabai...mindo nkawa naagizwa huku nahuko

Zila pita siku 2 siku yamazishi asbh nikawa napitishia watu chai na vitafunwa , hamadi kilekizee hiki hapa kinaniangalia kwa jicho kali nikakiwekea chai nikakizidishia maandazi, hapo roho yangu ikaanza kukosa amani...

Bhas kwakua bimkubwa na mze walikuwa bado hawajafika ndowapo njiani, nikaendelea pale navikazi kaz, nikatumwa

kufuata majembe kwa kile kazee nyumbani kwake ikabidi niende wakubwa washasema nikaendea nikamkuta mke wake mweusi vimacho vyekundu,

kakanikaribisha chai nikasema nshakunywa bhas kakaingia ndani kakatoka na majembe nasururu nikachukua nikaweka begani

Nikiwa njiani natembea yani, majembe ya mekuwa mazito kama nimebeba cement mwendo ukapungua uchovu mwingi nikayaweka chini kupumzika..

Akili zikawa kamazimehama nishasahau kama nimetumwa nikaanza kuchuma chuma matunda flani nakula ile napeleka mkono kuchuma ghafla nikaona nyoka .

Amekaa mkao wakuruka nilijiachia juya mti mpakachini nikaanguka baht nzur bro alitumwa kunifata maana nimechelewa

Akaja akankuta tukaondoka na tukafika naona kale kazee kananitazama tu...bhas wakachimba kabur..nimekaa kama dakika 5 mara kichwa kikaanza kuuma na macho

Nimeumwa kichwa mpaka machoz mwili unachemka nikaka chin nikavua shati nijasho linantoka ikabidi nipelekwe ndani

Nimekaa naona mapicha picha sielew
Naona nipo peke yangu kwenyelishamba kama lampunga lisilo na mwisho siwez kuongea naitwa lakini wapi nikalazwa chini wananipepea wakaniletea maziwa. .

Kuninywesha wanauliza umepatwa nann minipo kimya wamama wakasema atakuwa amepatwa na mshtuko wamsiba labda kilammoja anaongea, lake wengine

Wanataka nipelekwe hosptali ikabid wapige simu kwa dingi..dingi akasema msimpeleke osptal nakuja tunakarbia

Bhas nikaachwa..nakumbuka kuna dada washangaz kutoka Dar akaja akawa
ananiuliza akachukua vitungusaumu na

Maji cjui niyabaraka akanifungua mdomo akaninywesha navitungu juu akanisugulia mgongoni kichwani kidogo nikaskia kama likitu limeshuka koon nikaanza kuongea

 Nipe maji aka geuka akanipa akaniuliza una jiskiaje..nikasemapowa nikasimama jasho linatoka akanifuta nkaanza kuchangamka , dakika 2 nikajiskia fresh kabisa nikatoka nje nika piga kazi

 Mda ukaenda nikanda nyumbani kuoga nikawakuta wazazi nao ndowanafika wakaniuliza nikawaelezea. Wakasema ngoja msiba ukiisha tutapeleka ule unyayo

 msiba ukaisha siku ya pili ya 3...ntaendleaaa sehem ya 4 ( tulivyo potea njia ya kwenda kwa mganga na wakat wakurudi nyumbani nusra tutumbukie korongo la chui mi na bimkubwa)
 
Sehemu ya 4
 bhas bhana..baada ya msiba kuisha tukakaa kama siku 3 yanne faza akaondoka mjini tuka baki pale na bimkubwa ..

 bimkubwa akasema nimuonyeshe ule mchanga wakizee kichawi..nikamuonyesha akasema nimpe auhifadhi nikampa akasema, kwavile bado yupo yupo kidogo tutaupeleka baada yandugu nawageni wakishaondoka

Bhasi bhana baada ya siku4 dingi akasepa mjini tukabaki na bimkubwa
Tukakaa kusubiri msiba uishe kabisa nawageni wakishaondoka ndo tutaupeleka kwa sangoma.

Bhasi bhana kweli wageni walivyo isha isha bimkubwa akaenda kwa shangazi kidogo..

Nikaitwa kule msibani nirudishe majembe ya yule kizee mchawi nikaleta visingizio nisipeleke nikaambiwa wendo uliyaleta

Ikabid niseme mkono unaniuma sitaweza kubeba mwenyewe
Bhasi nikaambiwa utabeba nahuyu kijana tuka beba kuondoka

Tukafika tuka vikuta vile vizee vimekaa nje ilikuwa mida yaa saa6 hiv mchana..tukasalimia vikasema mmezaliwa wakat mzur

Ketini hapo tule nimda wakula bibi yenu asha ivisha minikadakia asanten sana tumeshiba kale kazee kakasema mbona unamsemea

mwezako ananjaa..kibibi nacho kikadakia kaeni wajukuuzangu jaman mle bibi yenu nimerosti

Kabla cjajibu lile kijana likakaa chap minika mwambia bibi asanten sana ntakula sikunyingine..kale kizee kakasema weka bakuli mbili nasamaki ulete mara 1.

Bibi kakaruka fasta ndani kakatoka navibakuli viwili vyenye samaki mikabla cjaongea kababu kaka nishika mkono kakaniambia kaachini
Kijana wangu ule nikajishangaa nimeketi nikanawa nikaanza kuufinya ugali.

Bhasi bhana tukala ila samaki walikuwa watam balaa baada yakumaliza nikashukuru nikasimama
Ilenataka kuondoka kazee kakasema tulia kijana unaenda wapi nahapa nikwako.

Mkewangu emu mletee maziwa mme mdogo na mwenzake kabibi kakacheka kakaruka ndani chap, kakatoka navikombe viwili kakatupatia tukanywa

Huku kazee kanasema hapa kwangu mtu hawezi kuja wakat wakula akaondoka hivhv bila kula. Huku kibibi kana msapoti mihata sielewi

Nataka kuondoka Bhasi tukamaliza tukaaga tukapiga hatua tatu tukasikia vinacheka na kugongesha mikono nikapotzea tukasepa.

Bhasi tukakaa siku kama mbili tumbo likaanza kuuma uma likawa kama linavimba gesi si gesi..nikawa nakula kidogo nashiba balaa.

Bro akawa ananishangaa dogo mbona siku hz unakula kizungu umegundua nn nkamwambia tumbo linazingua bhasi ikapita hivo

Wakiwa wanapika samaki najiskia vibaya kinyama kichefu chefu nikawa siwezi kula kabisa nakunywa uji tu hivyo hivyo na maji

Iikawa nikienda chooni kukata gogo kudadek gogo halikatiki..nikaona nakufa bimkubwa sahyo hajui naona aibu kusema .bimkubwa atanionaje

Nikaona mficha maradh kifo humuumbua ikabidi nimchane bimkubwa tulienda kwa yule mzee
Akatukaribisha ugali tukala nika mweleza nilivo kaa bila kupenda.

Nikaona bimkubwa kaachini ameshika kichwa akaniambia mwanangu umekwisha mwee.

Bhasi bimkubwa akasema kesho mapema tunaenda kwa mganga
Usiku ukapitaa kibishi bishi asubuh
Bimkubwa akawa anatafta alipo weka ule unyayo wa kichawi..hauoni

Bimkubwa akachanganyikiwaa tafuta tafuta pamoja na bro. Wapi akasema haka kazee kamenipiga changa. Wakatafta mpaka jioni

Huko jioni bimkubwa akacheki uvunguni kwenye kiatu akafanikiwa kuuona mda ukawa umeenda akasema jikaze kesho tutaenda

Usiku huo hakuja lalika tumbo na mimi tumbo tumbo jaman linauma bhasi kuka kucha tuka anza safari.

Lakini tulipo kuwa tutaenda bimkubwa akasema njia zinachanganya mbona tumetembea wee tunajikuta tunatokeapale pale kwanzia saambili mpka sa nne bado,
Tupo palepale bimkubwa akasema.
Hakuna kurudi nyuma

Hapa lazima tufike Leo Leo kaa nisubiri na kuja akaenda akarudi na mdada mmoja akanipa turatura akasema niweke mfukoni kisha. Tukaondoka mdada yuko mbele

Tukafika sehem kuna duka aka mpa yule dada kitu kidogo .akarudi zake
Tuka nunua maji juisi biskut tukala misjala nikanywa maji tu.

Boda Boda ikapita tukasimamisha tukapanda mpaka kwa mganga tukasubir zamyetu tukachoma, ndani bimkubwa wakasalimiana na mganga akamweleza yote

Mganga akapiga manyanga yake akanguruma, akatulia akasema huyu ametupiwa kombora na kale kazee nikachawi kakubwa kiongozi ..

Akasema huyu amelishwa nyama zawatu na damu iliyooza ya fisi alikuwa afe kama mende lakini kutokana nakinga yake namizimu yake ndomaana mpaka sahv bado yupo. Mganga akasema ngoja anitoe uchafu niliolishwa akavuta kibuyu

Akaniambia shika kunywa nikanywa akanipa kindoo aasee nilitapika nilitapika karibu kindoo kijae akavuta kibuyu kingine akanipa nikanywa sijatapika tena hapo nipo hooii. .

Bhasi mganga akasema inaitajika kuku mweupe tuka mpa hela kuku akaletwa..mganga akasema

Wachawi wakianzisha vita nawewe hawakati tamaa watakujia kwanjia yoyote ile mpaka wakunase kama utakata tamaa Umekwisha.

Anasema hatapale tulipo kosea njia nikilekizee kilikuwa kinataka, kuzuia unyayo wake usifike kwake maana nihatar kwake itampunguzia nguvu

Akaendelea kusema kale kazee nikakiongozi kakichaw pande zile ndomaana kanapambana kunichukua ili kaweke heshima kwenye kikundi chao cha babu kunoga.

Bhas mganga akasema ata nipambania kasi nisogelee.
Kwavyovyote vile bhasi mganga akanifunika shuka jeupe akaniambia lala chali akaniwekea kibuyu juu yatumbo akanipa dua zake ,

Kama nusu saa aka niamsha akasema amesha maliza akasema leta huo mchanga iliamfunge asinisogelee aitenganishe unyayo wangu nawake....

Itaendelea seem ya 5( nilivyo tenganishwa na kazee kichawi kwa kuku mweupe na unyayo wake na tulivyo potea njia ya kurudi kwenye korongo la chui) nilisha andika mpaka mwisho sema kwenye ku save nika cancel ikabidi nianze moja nime fupisha fupisha
 
Duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom