Nilivyokoswa koswa kuuawa mara kadhaa?

Nilivyokoswa koswa kuuawa mara kadhaa?

mipango99

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
647
Reaction score
946
Naam habari wakulungwa mabaharia wa nchi kavu na majini mpaka angani, ni miaka imepita toka niponee kuuawa mara kadhaa na raia na wachawi na rafiki zangu.

Shida inaanzia nlipokuwa bwana mdogo, nilikuwa nashine sana karibu kijiji kizima sifa zangu zilienea sio wakubwa wala wadogo.

Muda wote nilizungukwa na marafiki mabraza wakubwa pia walikuwa wananisikiliza. Stori zangu nilikuwa mdogo lakini nilikuwa na swaga za kikubwa' nilikuwa hodari wa kusimulia kitu mpaka kikaeleweka.

Kwakweli nilipendwa visenti vya pipi pipi nilikuwa sikosi kutoka kwa mabroo wakubwa wakubwa walipo kuwa wananiagiza mambo yao.

Shida ilianza pale nilipofika la nne, nilipiga mtihani wa mock nikawa wanne wilaya nzima na wa pili kwa shule.

Bhasi kipindi matokeo yanatoka mimi nilikuwa mjini, shule ilifungwa. Basi bwana nliporudi nikapewa taarifa hizo na sista zangu zawadi walishazitumia.

Miaka ikasonga nikatoboa la saba hapo ndo shida ikaanza nikarudi kitaa, familia ikawa imehamia mjini nikabaki mi na brazang mmoja. Nasista zangu

Life likaendelea nakumbuka siku moja tumeenda kupiga kibarua cha kusomba mchanga mimi brazang na sista mimi niko mbele kichwani nimebeba mchanga kwenye kiroba.

Nikateleza nikaangukia makalio huku mchanga uko kichwani shingo ikazama ndani hapo nimetoa macho kifo nakiona hichi hapa.

Nilishikwa na kiu toka nizaliwe sijawahi shikwa brazang amefika namu muonyesha ishara aniletee maji bahati nzuri nyumba ilikuwa mbali.

Akanirudia huku wakaanza kunikanda kanda shingoni baaada ya muda nikajiskia poa..sijabeba tena mchanga huko baadae usiku akaja.

Mzee mmoja ana nyumba karibu na pale nilipoanguka. Anaulizia anaendeleaje huyu wakamwambia hajambo kakasunya kaka ondoka...

 Baadae tukaja gundua kale kazee ni kachawi balaa kalikuwa kananitaka kunikill...na kama wangenipa maji ilikuwa nife...

Life likasonga siku moja niko nyumbani peke yangu nimejilaza tu mlango nimeacha wazi, saa kumi na moja hivi

Nikashikwa na kizungu zung naona nyumba inazunguka nilitambaa..hadi nje kifua wazi nkakimbia mpaka kwa jirani nikajitupa kwenye pipa lamaji..kama kichaa

 Jirani akatoka akanichomoa kuniuliza hata sielewi naona marue rue tu naona mawatu hata sielewi meus yamejipaka mavitu meupe yananiita kwa ishara. .

Nikamkumbatia jirani kwanguvu ..badae browang na ssta walivyorud nikawaeleza ikabd wanisafirishe mjin kwa wazazi.. part 2 nilivyochomolewa na wachawi kwenye neti.
 
ebu nenda kwa mpwayungu village akufundishe jinsi ya kuhadidhia story inoge
Ila mpwayungu village bana anachekesha Sana. Ile sehemu kwenye kisa chake Cha Lindi alipokuwa stendi ya basi Kilwa alielezea kisa chake chote mbele ya mwarabu wa ile ofisi ya kukata tiketi. Mwarabu alimsikiliza kwa huruma na kumpa elfu 20. Kwa mara yake ya kwanza kumuona mwarabu mwenye roho nzuri.

Yani nilicheka balaa

Sol de Mayo Dalmine
 
Ila mpwayungu village bana anachekesha Sana. Ile sehemu kwenye kisa chake Cha Lindi alipokuwa stendi ya basi kilwa alielezea kisa chake chote mbele ya mwarabu wa ile ofisi ya kukata tiketi. Mwarabu alimsikiliza kwa huruma na kumpa elfu 20. Kwa mara yake ya kwanza kumuona mwarabu mwenye roho nzuri.

Yani nilicheka balaa

Sol de Mayo Dalmine
mpwayungu alituweza alafu story ajamaliza, yupo bize na kazi za Ngo's zak
 
Part 2: bhaas bhana nikakaa kama week.
nikiendelea kufanyiwa mpango wasafari Kumbe bwana yule mzee kasanuka nyama, inataka kusepa.
Naam habari wakulungwa mabaharia wanchi kavu na majiin mpaka angani...nimiaka imepita toka

niponee kuuwawa mara kadhaa na raia na wachawi na rafik zangu..shida inaanzia nlipo kuwa bwana mdogo,nilikuwa na shine sana karibu kijj kizima sifa zangu zilienea sio wakubwa wala wadogo. ..

Mda wote nilizungukwa kwa na marafiki mabraza wakubwa pia walikuwa wananisikiliza. stori zangu nilikuwa mdogo lakini nilikuwa naswaga zakikubwa' nilikuwa hodari wakusimulia kitu mpaka kikaeleweka...

Kwakweli nilipendwa vicent vyapipi pipi nilikuwa sikosi kutoka kwa mabroo wakubwa wakubwa walipo kuwa wananiagiza mambo yao...

Shida ilianza pale nilipo fika lanne..nilipiga mtihan wa mock nikawa wanne wilaya nzima na wapili kwashule...

bhasi kipind matokeo yanatoka minilikuwa mjini shule ilifungwa..basi bwana nlipo rudi nikapewa taarifa hizo na sista zang zawadi walisha zitumia..

Miaka ikasonga nikatoboa lasaba hapo ndoshida ikaanza nkarudi kitaa ..familia ikawa imehamia mini nkabaki mi na brazang mmoja. Nasista zang..
Life likaendelea nakumbuka skumoja tumeenda kupiga kibarua cha kusomba mchanga mim brazang na sista mi nko mbele kichwan nimebeba mchanga kwenye kiroba..

Nikateleza nikaangukia makalio huku mchanga uko kichwani shingo ikazama ndani hapo nimetoa macho kifo nakiona hichi hapa...

Nilishikwa nakiuu toka nizaliwe sjawahi shikwa brazang amefika namu muonyesha ishara aniletee maji baht nzr nyumba ilikuwa mbali. .akanirudia huku wakaanza kunikanda kanda shingoni baaada ya mda nikajiskia poa..sjabeba tena mchanga huko baadae usiku akaja mzee mmoja ananyumba karibu napale nilipoanguka.anaulizia anaendeleaje huyu wakamwambia hajambo kakasunya kaka ondoka...

 baadae tukaja gundua kale kazee nikachawi balaa kalikuwa kananitaka kunikill...nakama wange nipa maji ilikuwa nife...
life likasonga sikumoja niko nyumbani peke yangu nimejilaza tu mlango nimeacha wazi ..saa kumi na mojahv

nikashikwa na kizungu zung naona nyumba inazunguka nilitambaa..hadi nje kifua wazi nkakimbia mpaka kwa jirani nikajitupa kwenye pipa lamaji..kama kichaa

 jirani akatoka akanichomoa kuniuliza hata sielewi naona marue rue tu naona mawatu hata sielewi meus yamejipaka mavitu meupe yananiita kwa ishara. .

nikamkumbatia jirani kwanguvu ..badae browang na ssta walivyorud nikawaeleza ikabd wanisafirishe mjin kwa wazazi.. part 2 nilivyochomolewa na wachawi kwenye net

Part 2
Part 2..bhas bhana nimekaa kama week ndugu zangu wakinifanyia mchakato wakusafiri..hali ikatulia kidogo

Kumbe kile kizee kichawi..kikashtukia nyama inataka kusafiri kikajipanga upya.

Skuiyo nimebaki home mwenyew ndugu zangu walienda kwenye sherehe 1 kijiji chapili, nikabaki mwenyewe mida yausiku kama saa5..

Nasikiliza kiredio..ghafla nkaskia upepo juu yapaa lanyumba upepo mkali mda kama dakika 3 nkaskia kishindo Tii.. seblen..kiredio kikazima nkaskia mtu kama anatembeea ndani..hapo natetemeka balaa nyumba nikubwa vyumba kama 7

niko pekeyangu..nkasema leo mwisho wangu naskia hatua zinakuja kwenye chumba changu...mara huko nje mapaka yakawa yanalia kama yanapigana kwa vurugu vurugu.??

Gafla huku ndani zile hatua zikawa kama zime stop ukapita upepo tena..kama dk3
Pakatulia kabisa naskia mikimbizano huko nje kama farasi..mihuku ndani moyo unadunda kama ngoma..?

Mungu si adhumani paka kucha nduguzang walipo kuja nikawaelezea yalio nikuta...bhs bhana maisha yakaendelea

Nakumbuka safari ika ahirishwa kwakua..
Mama yangu ilibidi atoke mjini aje kunicheki..maisha yalinibadilika ghafla

Kutoka kwenye umachachari na uchangamfu..nikawa mnyonge sana mda wote nimtu wawasiwasi kushtuka shtuka
Naona mda wote nakufa kufa...nkawa nakwepa marafik zang usiku mandoto yakutisha hakulaliki...

Nilikonda balaa..mwenzi ukakatika, kibishi..bikubwa akaja nakumbuka bimkubwa alivyo niona machozi yakamtoka..

Alikuwa anajua labda nduguzang walikuwa wana mdanganya kwenye cm..bhas kesho palivyo kucha bimkubwa akampigia mshua cm...

Mshua akamwambia bimkubwa mpeleke kwa mtaalam (mganga ) nikajiandaa tukatoka na bimkubwa tulitembea sana

Tuka fika kwa mtalam..tuka kuta watu wengine wanasubiria huduma..zam yetu ikafika tuka ingia kwa mtaalam..

Tuka mkuta mganga mze mzee tu kiasi kaketi tukaketi..mtalam akapiga manyanga yake akanguruma kama simba, akawa anapiga fimbo hewani huku nahuko..

Ebwana hii ndoilikuwa mara yakwanza kufika kwa mganga nilitetemeka..mganga akatulia akaketi akakachini akaniambia ina misha kichwa hapa kwenye chungu nika inama...

Akanipiga mkia cjui wanini kichwani ghafla nikaona giza nkaenda chini nimekuja kushtuka badae..mganga akaniambia asee kijana upo kwenyehatar kubwa ushawekwa alama we ninyama ya wachawi..niliogopa nika mwambia babu nisaidie

Mganga atakuambia usiogope hawataweza ntakukinga..akasema toeni hela akaletwe kuku mweusi na mwekundu na mayai manne. .

Hela ikatolewa vikaletwa akashika yule kuku mweusi akaniwekea kichwani..huku anaongea maneno mpaka anatetemeka..mimi Naona kizunguzung
Gafla akaacha akamshusha yule kuku chini kuku kuku kafa..akamchinja hamna dam iliyotoka..akamweka pembeni

Akachukua kibuyu kina Asali nyeusi akalamba..akanipa na mm nikalamba ni chachu hapo ndo akaanza kuongea sasa

Akasema umetupiwa jini kali sana lilikuwa likumalize taratibu kwa stress..limekukosa mara nyingi akanitajia mapaka ilesiku nilivyo anguka na mzigo akataja vyote..

Akasema sema wewe dam yako namizimu yakwenu imekusaidia sema imezidiwa akasema hata ilesiku usiku..alivyo sikia sauti kama za farasi ni mizimu lilikuwa inapambana na wachawi walio kuja kuku chukua..wakakimbia baada yakuzidiwa huko nje...

Akasema hata hapa ulivyo kuja lile jini lilikuwa lina kufuata ndomaana nlikuwa napiga fimbo hewan..na huyo kuku aliokufa lili mnyonya dam badala yako ililitulie. .

Mganga akachukua yule kuku mwingine
Mwekundu akasema ina bidi anichanjie dam bhs akamchinja akachanganya na dawa nikala chale za kutosha...

Kufupisha maelezo..mganga akasema yule mzee nimchaw mkubwa ili kumfunga asikuone tafta unyayo alipo kanyaga ukiupata siku yoyote rudi..tufanye jambo

Bhs tukaondoka pale tukamlipa kitu kidogo akatupa na dawa..nkasema zitakusaidia nahilo jini halitakufuata tena

Tukarudi mda wa bikubwa kurudi town ukafika akanipa maelezo na nduguzang kutafuta unyayo wa yule kigagula..akasepatown?

Mda matokeo ya mtihan yakatoka nikafaulu vzr tu fom 1..

Part 3: ntakuja kueleza harakati zakutafuta unyayo wakigagula tulivyo kimbizana na jini minakaka yangu. .hadi kufanikiwa kuupata unyayo kifo cha bamkubwa wangu kilivyo taka kupita na mm
 
Naam habari wakulungwa mabaharia wanchi kavu na majiin mpaka angani...nimiaka imepita toka

niponee kuuwawa mara kadhaa na raia na wachawi na rafik zangu..shida inaanzia nlipo kuwa bwana mdogo,nilikuwa na shine sana karibu kijj kizima sifa zangu zilienea sio wakubwa wala wadogo. ..

Mda wote nilizungukwa kwa na marafiki mabraza wakubwa pia walikuwa wananisikiliza. stori zangu nilikuwa mdogo lakini nilikuwa naswaga zakikubwa' nilikuwa hodari wakusimulia kitu mpaka kikaeleweka...

Kwakweli nilipendwa vicent vyapipi pipi nilikuwa sikosi kutoka kwa mabroo wakubwa wakubwa walipo kuwa wananiagiza mambo yao...

Shida ilianza pale nilipo fika lanne..nilipiga mtihan wa mock nikawa wanne wilaya nzima na wapili kwashule...

bhasi kipind matokeo yanatoka minilikuwa mjini shule ilifungwa..basi bwana nlipo rudi nikapewa taarifa hizo na sista zang zawadi walisha zitumia..

Miaka ikasonga nikatoboa lasaba hapo ndoshida ikaanza nkarudi kitaa ..familia ikawa imehamia mini nkabaki mi na brazang mmoja. Nasista zang..
Life likaendelea nakumbuka skumoja tumeenda kupiga kibarua cha kusomba mchanga mim brazang na sista mi nko mbele kichwan nimebeba mchanga kwenye kiroba..

Nikateleza nikaangukia makalio huku mchanga uko kichwani shingo ikazama ndani hapo nimetoa macho kifo nakiona hichi hapa...

Nilishikwa nakiuu toka nizaliwe sjawahi shikwa brazang amefika namu muonyesha ishara aniletee maji baht nzr nyumba ilikuwa mbali. .akanirudia huku wakaanza kunikanda kanda shingoni baaada ya mda nikajiskia poa..sjabeba tena mchanga huko baadae usiku akaja mzee mmoja ananyumba karibu napale nilipoanguka.anaulizia anaendeleaje huyu wakamwambia hajambo kakasunya kaka ondoka...

 baadae tukaja gundua kale kazee nikachawi balaa kalikuwa kananitaka kunikill...nakama wange nipa maji ilikuwa nife...
life likasonga sikumoja niko nyumbani peke yangu nimejilaza tu mlango nimeacha wazi ..saa kumi na mojahv

nikashikwa na kizungu zung naona nyumba inazunguka nilitambaa..hadi nje kifua wazi nkakimbia mpaka kwa jirani nikajitupa kwenye pipa lamaji..kama kichaa

 jirani akatoka akanichomoa kuniuliza hata sielewi naona marue rue tu naona mawatu hata sielewi meus yamejipaka mavitu meupe yananiita kwa ishara. .

nikamkumbatia jirani kwanguvu ..badae browang na ssta walivyorud nikawaeleza ikabd wanisafirishe mjin kwa wazazi.. part 2 nilivyochomolewa na wachawi kwenye neti.
👀👀👀👀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom