Nilivyo Jariwa na Mwenyezi Mungu

Nilivyo Jariwa na Mwenyezi Mungu

Mbona ukiwa na pesa unakuwa handsome, inakuwaje wewe unapesa halafu siyo handsome?

Money speaks louder than words
 
Nikweli, Mungu akupi vyote... ndugu
Anakupa unachoomba kile usichokiomba hupewi na vingine ni akiba kuna namna Mungu anakunyooshea njia, kuna mtu alikua anasimulia namna maombi yako ya kila siku kila siku kila siku ni yapi na yanatakiwa yaweje akasema maombi ni akiba yako ya baadae au wewe focus yako ni ipi sasa kile unachokipa uzito au focus kwenye akili yako hilo ndio ombi lako mfano km focus yako ni simu kali basi utashika simu kali lazima na km focus yako ni nyumba kubwa basi utajenga ipo siku au utaishi kwenye nyumba kubwa Mungu ataweka humo kukuonyesha na km focus yako usiugue au kupata ajali Mungu atakuepusha km focus yako ni wanawake Mungu atakupa wanamke wa kila aina uchague km focus yako ni pesa trust me utashika pesa mpaka pesa ziseme pesa

Kile unachoomba ndicho unachopewa haupewi usichoomba
 
Nilivyo jariwa❌

Huyo Mwenyezi Mungu ameshindwa hata kukujalia kuandika kiswahili vizuri kwa ufasaha.

Kamwambie kwanza huyo Mungu akujalie kuandika kiswahili vizuri kwa ufasaha.

Huyo Mungu na yeye ni kipofu. Ameshindwa kukujalia kuandika kiswahili kwa ufasaha.
 
Endelea kumuamini Mwenyezi Mungu na usiache kamwe, hayo mengine uliyoyazungumza yanawezekana kurekebishika, unahitaji attention wakati unazungumza?, jifunze mbinu rahisi za mawasiliano ( Communication Skills), Hii itakusaidia pia kupata mademu wakali 😄
 
Weeee.... online huku ndo Kuna matapeli kama wanavyolizwa watu kuagiza magari Japan.
Some decades back nikiwa mdogo ilikuwa nasafiri kwenda nchi yoyote ninayoiwaza alimradi nimepata visa bila ya kuwaza nikishafika nitaanzia wapi and life used to be fun and adventurous, life is for risks takers. Kumgundua tapeli you don't just assume kwa mtu fulani ni tapeli but you get the whole thing through hanging out together, interacting at personal levels.
 
Endelea kumuamini Mwenyezi Mungu na usiache kamwe, hayo mengine uliyoyazungumza yanawezekana kurekebishika, unahitaji attention wakati unazungumza?, jifunze mbinu rahisi za mawasiliano ( Communication Skills), Hii itakusaidia pia kupata mademu wakali 😄
Asante.
 
Some decades back nikiwa mdogo ilikuwa nasafiri kwenda nchi yoyote ninayoiwaza alimradi nimepata visa bila ya kuwaza nikishafika nitaanzia wapi and life used to be fun and adventurous, life is for risks takers. Kumgundua tapeli you don't just assume kwa mtu fulani ni tapeli but you get the whole thing through hanging out together, interacting at personal levels.
Uko sahihi
 
Mm uwa kwa asilimia 90 nakubalika sana uwa niko cool ila nikianza kumwaga nondo kila mtu unikubali
 
Back
Top Bottom