Vipi kwenye upande wa kutoa sadaka kupitia hicho Mungu anachokujalia kwenye biashara? Unatoa fungu la kumi kwa wahitaji?Mara 3 Mungu ananiepusha ktk matukio ya Ajabu mwenyewee.
Embu fanya tujaribu kupendana nione kama kweli hupendeki hauna mvuto nije kuthibitisha hapaMimi ninaa amini ktk Ukuu wa Mungu, ila siwezi to ufafanuzi mpana ktk hilo.
Ila katika Maisha yangu binafsi Huwa namshukuru Mungu kwa Kunijaria Bahati
Hii Bahati ninayo toka kuzaliwa.
1. Biashara
Nikifanya Biashara huwa inafanikiwa, na popote, Jambo lolote ni ninalolifanya kwa Nia ya Biashara huwa linafanikiwa.
2. Bahati ya Nyumba au Viwanja
Mungu amenijaria nikiwa na Umri wa Miaka 25 tu nimemiliki nyumba yangu ya kwanza.
3. Bahati ya kuaminiwa ktk makubaliano ya kazi na Pesa.
4. Kama Sehemu panataka kuvamiwa na majambazi au tukio la uhalifu, mara Nyingi huwa nikiondoka au siku ya tukio sitoenda. Mungu huwa ananiepusha sana na haya matukio.
MAMBO AMBAYO MUNGU AJANIJARIA
1. Elimu yaani kua na Degree au zaidi..
Nilijitaidi nisome ila wapi, MUNGU akunijaria kwenye Elimu
2.Mapenzi, Mungu ajanijaria upendo, yaani Mimi kupendwa na Wanawake, hata nifanye jambo Gani Sina mvuto kwa mwanamke kuvutiwa na Mimi.
3.Hata niende wapi au nifanye jambo jema kiasi Gani watu huwa Hawana attention na mimi.
A candidate on the making, yaelekea jimbo liko huru hebu tupa karata bi mdogo.Pole sana mkuu kwahiyo una biashara na pesa zako, na nyumba yako na haujaoa?
Kama nawe haujaolewa then let this forum be a match maker.Mungu akufanyie wepesi upate mke sahihi
Nahis hata mm ni tangazo sema lipo kimkakati flan hvKuna jitu linaenda kupigwa hapo mbele.. hu mtengo unatumiwa sana na magaidi wa Hamas
Muda wangu wa kuolewa badoKama nawe haujaolewa then let this forum be a match maker.
Straight like a ruler, safi sana. Action speaks louder than words, hebu mmwagie mawili matatu via DM naamini mtayajenga tu.Embu fanya tujaribu kupendana nione kama kweli hupendeki hauna mvuto nije kuthibitisha hapa
Tujitahidi kuitendea haki lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Lugha tamu maungoni.Nilivyo jariwa no, nilivyojaliwa yes. Mods nao wansukuma hivyo hivyo tu.
Asante pia kwa kuwa mwelewa 🙏🏾Asante kwa masahihisho.