Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,067
Mimi ninaa amini ktk Ukuu wa Mungu, ila siwezi to ufafanuzi mpana ktk hilo.
Ila katika Maisha yangu binafsi Huwa namshukuru Mungu kwa Kunijaria Bahati
Hii Bahati ninayo toka kuzaliwa.
1. Biashara
Nikifanya Biashara huwa inafanikiwa, na popote, Jambo lolote ni ninalolifanya kwa Nia ya Biashara huwa linafanikiwa.
2. Bahati ya Nyumba au Viwanja
Mungu amenijaria nikiwa na Umri wa Miaka 25 tu nimemiliki nyumba yangu ya kwanza.
3. Bahati ya kuaminiwa ktk makubaliano ya kazi na Pesa.
4. Kama Sehemu panataka kuvamiwa na majambazi au tukio la uhalifu, mara Nyingi huwa nikiondoka au siku ya tukio sitoenda. Mungu huwa ananiepusha sana na haya matukio.
MAMBO AMBAYO MUNGU AJANIJARIA
1. Elimu yaani kua na Degree au zaidi..
Nilijitaidi nisome ila wapi, MUNGU akunijaria kwenye Elimu
2.Mapenzi, Mungu ajanijaria upendo, yaani Mimi kupendwa na Wanawake, hata nifanye jambo Gani Sina mvuto kwa mwanamke kuvutiwa na Mimi.
3.Hata niende wapi au nifanye jambo jema kiasi Gani watu huwa Hawana attention na mimi.