Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
Na je mtagawana vipi udugu na upendo mlioujenga kwa muda mrefu?Exactly! Tena mnagawana mlivyochuma pamoja kwa furaha kabisa...
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?
Na je mtagawana vipi udugu na upendo mlioujenga kwa muda mrefu?
Mkuu, hizo ni hisia zako na chiki ulizonazo kwa wazanzibarihakuna upendo uliojengwa zaidi ya kelele za waznz, na kuwatesa na kuuwa watanganyka huko znz
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?
Mkuu Chanruma, hakika inahitaji tafakuri ya kina kabla ya kuuvunja muungano. Kwangu naona kuwa kitendo cha kuuvunja muungano ni kama kumchinja mtu kwa msumenoNa je mtagawana vipi udugu na upendo mlioujenga kwa muda mrefu?
sio chuki tatizo waznz hawajui wanachokitaka. sasa wameona t/nyika wanadai nchi yao wamelowa. ila kabla ya hapo walikuwa wakifura eti tunawatawala. hawa watu wana akili ya ajabu sanaMkuu, hizo ni hisia zako na chiki ulizonazo kwa wazanzibari
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?
Mimi sasa nimekuwa muumini wa Serikali Moja; Moja ya kwao na Moja ya kwetu, tukutane Umoja wa Mataifa kama ndugu wamoja! Undugu haung'ang'aniwi na ndugu akishalalamika kuwa unamzibia ni wakati wa kumtakia kila la kheri... Niliupenda Muungano lakini Mungu ameupenda zaidi..