siyammoja21
New Member
- Dec 24, 2013
- 1
- 0
Siku zote unapo muona mtu analalamjka,basi usimzarau msikilize
anaihitaji nini ?
Wanacho kidai Wazanzibari ni sahihi ,
Hebu jiulize kwa nini walalamike, hakuna mtu ambaye hapendi maslahi ila ukiona lawama jua maslahi hakuna na kama yapo bisi ni yawachache.
Hivi mnajua kama Wazanzibari wamepoteza wasomi wao wengi kutokana na Muungano huu, na sio kama walipotea porini, lahasha bali waliuliwa akiwemo ,
Miongoni mwao ni :
OTHMANI SHARIF & HANGA .hiki ni kilio kikubwa kwa jamii ya Wazanzibari .Sijui kuna siri gani hapa
Ilio sababisha Watu kutupwa nungwa,
Hali yakuwa hai .
Na isitoshe hebu tujiuljze ni Muungano gani huu ulio fanyika bila ya kuwepo wanasheria wanchi zote mbili ( Tanganyika na Zanzibar ) hebu tufikirie .Jamani tuamkeni hapa panakitandawili kizito Tusithpiane lawama kuna haja ya kuwepo Tanganyika na Zanzibar kisha ndio tuitafute Tanzania .