Wewe sijui umefikaje chuo!! Pharmacology yenu mnayo soma semester tatu ni ya kwenu pamoja na hayo tukija kwenye clinical pharmacology hata na ninyi mnaoma semester moja kama sisiClinical pharmacology ya semister moja utalinganisha vipi na mfamasia aliyesoma pharmacology kwa semister tatu?
Halafu unakuta medical attendant anafanya kazi ya Nurse! Hilo hawataki kulisema coz wananchi wengi hawana elimu na hawajui kuwa wale si nurses coz wengi wao wanatumia uzoefu na wanafanya vizuri but they are not licensed to act as nursesVitu vingine ni vya kuwazika tu. Maduka ya vijijini huko huyo mfamasia utampata wapi?
Nashindwa nikuambieje, ila nakuhurumia sana.Wewe sijui umefikaje chuo!! Pharmacology yenu mnayo soma semester tatu ni ya kwenu pamoja na hayo tukija kwenye clinical pharmacology hata na ninyi mnaoma semester moja kama sisi
Kwa hiyo unaungana na wenye mawazo madogo kuwa kuuza dawa ni Kazi ya mfamasia? Hivi ukiwa mfamasia unakuwa muuza dawa? Kama wewe ni mfamasia basi unawaaibisha wafamasiaNashindwa nikuambieje, ila nakuhurumia sana.
Kusoma kwako Clinical pharmacology kwa semister moja haina tofauti na kusoma anatomy semister moja ambayo MD nayo wanaisoma.
Kwa mantiki hiyo huwezi kufanana na hicho unachokilalamikia.
Cjawah kusoma ufamasia, unesi, wala udaktari, (nachojua ni biology na chemistry) lkn nimeuza duka la dawa muhimu kwa muda mrefu kiasi cha kuitwa Dokta kwa ufanisi wa kazi niliyokuwa nafanya. Nazijua dawa , najua kusoma doctors' prescription na kutoa dozi kwa usahihi na ushauri kwa mgonjwa. Haya matamko nayo!Hii nchi ya ajabu sana, eti unazuia nurse asiuze dawa meanwhile unaruhusu medical attendant aendelee kufanya kazi za nurse wakati hajasoma nursing! Halafu kuna watu wanakurupuka na kusifu ati hiyo ni kazi ya mfamasia! Hamjui madaktari, manesi na wafamasia wote husoma clinical pharmacology? Hamjui kuwa Nurse ana exposure na cases nyingi na hivyo anaweza uza dawa bila kuathiri afya za watumiaji? Kwa leo yangu ni hayo tu, kila siku mimi naona maajabu nji hii.
Wewe utakuwa na diploma ya pharmacy, nenda kauze dawa. Kama utakuwa na degree ya pharmacy basi kafanye kazi ya maana. Bahati nzuri mimi sijawahi kusoma diplomaClinical pharmacology ya semister moja utalinganisha vipi na mfamasia aliyesoma pharmacology kwa semister tatu?