Mechanist
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 724
- 491
Hii nchi ya ajabu sana, eti unazuia nurse asiuze dawa meanwhile unaruhusu medical attendant aendelee kufanya kazi za nurse wakati hajasoma nursing! Halafu kuna watu wanakurupuka na kusifu ati hiyo ni kazi ya mfamasia! Hamjui madaktari, manesi na wafamasia wote husoma clinical pharmacology? Hamjui kuwa Nurse ana exposure na cases nyingi na hivyo anaweza uza dawa bila kuathiri afya za watumiaji? Kwa leo yangu ni hayo tu, kila siku mimi naona maajabu nji hii.