Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,281
- 7,061
Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.
Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?
Polepole hajagusia kabisa!
Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?
Polepole hajagusia kabisa!