Aamiin.Daaaa, Ilifikia hatua akakata tamaa kabisa.
Afya ni Kati ya vitu ambavyo binafsi nachukuliaga poa lakini nikiumwa mawazo yanaenda mbali sana na kuwakumbuka watu wanao ugua miakaa.
Siku mtu ukilazwa ndio hua unakumbuka kale ka msemo
"Kikubwa uzima".
Huyu pengine ni sababu za kiuchumi
Au ameugua kwa mda mrefu bila kupona.
Au ni kati ya magonjwa makubwa yanayokatisha uhai wa wengi
Au ametelekezwa
Kwa ufupi mpaka mtu anajitoa uhai, anajihisi ni hopeless.
Mungu awape nguvu wagonjwa wotee.
dash afya afya afya in kitu kimoja cha muhimu sana. Mgonjwa lambda alishajikatia tamaa kama mkuu reyzzap alivyosema ama ile ndugu kumtelekeza kutokana na hali zao mbaya kiuchumi. Ina huzunisha ila ndio hivyo hakuna namna. Apumzike kwa amani tu. Uchungu wake wa mgonjwa aujuae mgonjwa mwenyewe.
Haha sawa. Kiswahili nakijua vizuri mno. Ni errors zinaletwa na keypad ya simu tu.Lamda = Labda
Haha sasa kiswahili nakijua vizuri mno. Ni errors zinaletwa na keypad ya simu tu.
Kwa kweli hospitali ingepigwa faini za kutosha. Mgonjwa katoka kitandani, hamna anayejua, hamna anayemsimamia.Kwa mbele ni bonge la kesi hiyo, sema kibongo bongo, na kama mgonjwa mwenyewe ni miongoni mwa akina sie, hapo watu wataishia kutoa justification za kipumbavu kv "malaria ilikuwa imepanda kichwani", and that's it!
Mkuu unatutia kamba. Keyboard inajua neno lamda? ๐๐๐๐Haha sawa. Kiswahili nakijua vizuri mno. Ni errors zinaletwa na keypad ya simu tu.
Au inawezekana wewe ni msambaa ndio wanakawaida ya kusema Lamda.Haha sawa. Kiswahili nakijua vizuri mno. Ni errors zinaletwa na keypad ya simu tu.
Hapana mkuu.Au inawezekana wewe ni msambaa ndio wanakawaida ya kusema Lamda.