Nilishangazwa sana na huyu mwanamke

Nilishangazwa sana na huyu mwanamke

7 5 mm

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
352
Reaction score
200
Natumai ni wazima wote popote mlipo.
Bila kuwachosha nikwamba'
Ni muda wa mwaka mmoja tangu niachane naye.

Nilikuwa na dada mmoja ambaye alikuwa ni mpenzi wangu.

Kwa kipindi chote hicho nilichokuwa naye sikuwahi kumwingia kimwili kwasababu alikuwa anakataa sana kwa lengo la kusubiri mpaka ndoa.

Siku moja kulikuwa na sherehe ya harusi nyumbani kwao ikabidi na mimi nishiriki.

Baada ya pirika kuisha kwenye mda wa saa 8 za uski nikatafuta rodge ya kulala kwasababu nisingeweza kurudi nyumban ilikuwa ni usiku sana.

Basi na yeye akaja tukalala wote.

Kama mjuavyo mambo ya giza ni ya shetani tukajikuta tunashawishika na kuvunja amri ya 6.

Kati kati ya gemu nikaanza kuskia harufu ya kinyesi sikujua inatoka wapi, mimi nikazid kumiliki mpira ile nataka kuchange formation ya mchezo nikaona kinyesi makalioni kwake nilishtuka sana.

Nikamuuliza kulikoni?

Akajibu na yeye hajui nikajikuta sina hamu ya tendo tena.

Akajiswafi na tukaendelea na usingizi.

Siku nyingne nikamwomba gemu tena nikakuta ile hali inajirudia tena.

Kiukweli nikapoteza hamu naye kabisa kwasababu kila nikimuuliza anasema na yeye hajui.

Nikaanza kuhisi kuwa atakuwa anapigwa mkia nyuma.

Sasa sijajua hii hali huwa inawatokea hata nyinyi wanawake wengine?
.......................
................
Cc miss neddy , Vaislay , miss chagga , a.rahabu , lara1 , Matola , Dinazarde , ICHANA , Asprin , na wengne wengi ambao sijawataja
 
Siku nyingine mkague uone kama rinda lipo tena tumia torch uone vizuri sio kuja kutuuliza sisi kama tunatoka kinyesi ovyooo
 
Hii ngumu kumeza' haya wadada mjibuni huyo bwana!
 
Natumai ni wazma wote popote mlipo.
Bila kuwachosha nikwamba'
Ni mda wa mwaka mmoja tangu niachane naye. Nilikuwa na dada mmoja ambaye alikuwa ni mpenz wangu.
Kwa kipindi chote hicho nilichokuwa naye sikuwahi kumwingia kimwili kwasababu alikuwa anakataa sana kwa lengo la kusubir mpaka ndoa.
Siku moja kulikuwa na sherehe ya harusi nyumban kwao ikabidi na mm nishiriki. Baada ya pirika kuisha kwenye mda wa saa 8 za uski nikatafuta rodge ya kulala kwasababu nisingeweza kurudi nyumban ilikuwa ni usiku sana.
Basi na yeye akaja tukalala wote.
Kama mjuavyo mambo ya giza ni ya shetani tukajikuta tunashawishika na kuvunja amri ya 6.
Kat kat ya gemu nikaanza kuskia harufu ya kinyesi sikujua inatoka wapi, mm nikazid kumiliki mpira ile nataka kuchange formation ya mchezo nikaona kinyesi makalion kwake nilishtuka sana.
Nikamuuliza kulikon? Akajibu na yeye hajui nikajikuta sina hamu ya tendo tena. Akajiswafi na tukaendelea na usingiz.
Sikunyingne nikamwomba gem tena nikakuta ile hali inajirudia tena. Kiukweli nikapoteza hamu naye kabisa kwasababu kila nikimuuliza anasema na yeye hajui.
Nikaanza kuhisi kuwa atakuwa anapigwa mkia nyuma.
Sasa sijajua hii hali huwa inawatokea hata nyinyi wanawake wengne?
.......................
................
Cc miss neddy , Vaislay , miss chagga , a.rahabu , lara1 , Matola , Dinazarde , ICHANA , Asprin , na wengne wengi ambao sijawataja

Anavunjwa kabati huyo.
 
Hayo maneno mengine nayaacha kwa sasa lakini hapa kidogo pamenistua

Ni kitu gani kimekufanya useme "na nyie wanawake wengine inawatokea"?

Unadhani binadamu ambae yupo sawa anatokwa na haja kubwa wakati wa tendo?

Kama unajua kuwa hatokwi ni kwanini umewauliza wanawake wengine?

Kwanini usingeuliza hilo tatizo linasababishwa na nini?
 
kwahiyo umenimention na mimi ni mwanamke siyo?

Nikaanza kuhisi kuwa atakuwa anapigwa mkia nyuma.
Sasa sijajua hii hali huwa inawatokea hata nyinyi wanawake wengne?
.......................
................
Cc miss neddy , Vaislay , miss chagga , a.rahabu , lara1 , Matola , Dinazarde , ICHANA , Asprin , na wengne wengi ambao sijawataja

Makavu live!! Nawe mleta uzi una matatizo' swali lako umelilenga kwawanawake then uncopy wanaume? Au au au au ....? Unatupa question mark nyingi vichwani bwana. Bora kakuchana Matola.
 
Last edited by a moderator:
Aisee pole...haiwezekani kuwa hajui tatizo lake,analijua saana.Labda ndo mana alikua hatak mpaka ndoa(anaficha aibu)

Mimi sio tabibu ila si kawaida kutokwa na haja,lazima kuna hitilafu..

Afadhali uliligundua hilo mapema
Kama mshaachana basi haina haja tena,pole
 
chunguza tena utakuta marinda hamna tayari diagosis confirmed
 
Back
Top Bottom