bombafresh
Senior Member
- Feb 15, 2012
- 167
- 41
duuh..anakubipu huyo umpigie..
Jamaa karuka ukuta bila kujua afu anapiga kelele huku ! Hatari !
duuh..anakubipu huyo umpigie..
Jamaa karuka ukuta bila kujua afu anapiga kelele huku ! Hatari !
Wonders of this world!
Never end..Wonders of this world!
Inawezekana nfo ulemavu wake.
Amewahi kumuona daktari?
Mweh usikute akifika kileleni mavi yanamtoka
Aisee pole...haiwezekani kuwa hajui tatizo lake,analijua saana.Labda ndo mana alikua hatak mpaka ndoa(anaficha aibu)
Mimi sio tabibu ila si kawaida kutokwa na haja,lazima kuna hitilafu..
Afadhali uliligundua hilo mapema
Kama mshaachana basi haina haja tena,pole
duuh..anakubipu huyo umpigie..
kwahiyo umenimention na mimi ni mwanamke siyo?
baada ya kushangazwa ulichukua hatua gan