No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC)leo imesainiana fomu ya Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Vyama vya Siasa 18 huku Chadema "ikikacha" kusaini fomu hizo!Kwa mujibu wa Sheria za UCHAGUZI za Nchi Tanzania,ili uweze kushiriki Uchaguzi Mkuu ni lazima uwe umeweza "kucomply" na takwa hilo muhimu!
NINI MAANA YA UAMUZI HUU WA "KITOTO"WA CHADEMA?
I.Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Tundu Lissu ataendesha Chama chake kwa miaka mitano(2025-2030)bila ruzuku yoyote ya Serikali,kwa maana ya kulipa mishahara ya Wafanyakazi,gharama za Ofisa na shughuli nyingine za KISIASA!Tone Tone ya Chadema mpaka sasa imekusanya milioni 100 tu kwa mujibu wa taarifa ya Jana ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema!
II.Ni wazi kuwa Chama hiki kitakufa mikononi mwa Ndugu Tundu Antipas Lissu kwa kukosa fedha ya kutekelezea majukumu yake ya Chama na kwa maana hiyo baadhi ya Wanachama wa Chadema wataibuka kumpinga wazi wazi Mwenyekiti pamoja na Timu yake yote!
III.Ni wazi kuwa kama hakutotokea Mapinduzi ndani ya Chadema kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho mwaka 2029 au 2030 basi hata Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho,utamrudisha tena Mzee Freeman Mbowe kwa kura nyingi sana mwaka 2030.
Strategy ya ndugu Tundu Antipas Lissu imefeli mapema sana hata kabla ya miezi minne tangu achaguliwe JANUARY 2025 kufika!
USHINDI WA TUNDU LISSU ULIKWENDA KWA MTU ASIYE SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI!
Kama Chadema ya kina Ndugu Tundu Antipas Lissu ilishindwa kufanya Siasa za "harakati -vurugu na fujo" wakati wa hayati Magufuli na kufanya baadhi ya watu wakimbie Nchi(Canada Ubeligiji,Uarabuni na Kenya) na baadae kuomba msamaha kupitia Mzee Jakaya Kikwete(Lema)na hakuna ambacho walifanikiwa imekuwaje waone kuna fursa ya kufanya siasa za harakati wakati huu wa Samia(Maridhiano)?
Kama Chadema wangeenda na Mzee Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wao uwezekano wa Mzee Freeman Ekael Mbowe Mwenyewe,Tundu Lissu John Heche,Godbless Le a na Timu yao kubwa ingerudi Bungeni mwaka 2025!
Yaani kelele za No Reforms No Election,kelele za Petition zingenoga sana zingewashwa Bungeni toka 2025 to 2030 na ni wazi Reforms zingepatikana kwa ajili ya Uchaguzi wa mwaka 2030!
Muulize Tundu Lissu kwamba wakati anachukua Uwenyekiti wa Chama hicho mwezi January 2025 alitangaza kufanya "reforms" hizo hizo ndani ya Chama chake!Muulize mpaka Leo amefanya REFORMS ngapi ndani ya miezi minne ndani ya CHADEMA?,
Sasa mbona yeye anataka Serikali ifanye REFORMS ndani ya miezi kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wakati yeye mpaka sasa hana hata REFORM MOJA ndani ya Chama chake?🤷🏻♂️🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Dah Tundu kaiua Chadema "asubuhi" sana!Baya zaidi "kanunua" kesi mbaya bila hata sababu ya msingi!
Narudia tena,Chadema ya Sasa inahitaji Vijana wenye "akili kubwa" nyuma ya Ndugu Tundu Lissu na Ndugu John Heche!
" Hii inaitwa Ng'ombe Ifwile,mbelile mbelileee".🤣🤣