Zuwely salufu
Senior Member
- Oct 7, 2012
- 105
- 20
Nilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi nifanyeje?
Maswali mengine bwana khaaa!! Muache mkeo umuoe yeye!
Huyo anataka umfanye awe wa kupashia misuli kabla hujafika homeNilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi nifanyeje?
nahisi bado unampenda! fanya kama wanaume wengi wafanyavyo hapa tanzania, including mkulu wa kaya, alijivutia kitoto cha mwenye ASAS maziwa iringa cku nyingiiiiiiiiiii na mtoto wanaye. so na we fuata ya waasisi! period!