Nilipoteza laptop yangu imeokotwa na nimeletewa hadi nyumbani!!!

Jambo la kawaida sana katika nchi zilizo zeeka...sisi nchi mpya tutafika bila wasi wasi wowote
 
USA wanaishi Binadamu waliopewa Socialization bora kabisa siyo huku kwetu. Nauli tu Daladala tunawaibia Makondakta.
daah umenikumbusha tukio moja la jamaa tukiwa ndani ya daladala anasema konda naomba chenji yangu nashuka kituo kinacho fuata konda anasema umenipa nauli mda gani jamaa nimekupa 5000 konda anasema sijachukua nauli ya mtu humu ndani kaulza abiria eti kuna mtu nimechukua nauli yake watu bado jamaa ilibidi abiria watukane na konda akamshusha
 
Mie nilidondosha nyanya sokoni mfuko ulikuwa umetoboka ile kufika getini teja mmoja akaniambia nyanya zinadondoka kutazama mfuko umechanika kugeuka nyuma anakuja kuli amebeba Rambo nyingine anasema bro nyanya zako hizi hapa. Kumbe hata bongo wapo waaminifu wenye utu.
Hiyo inatokana na facilitation,nani asiyejua kuwa kwenye viwanja vya ndage vya huko majuu ukiangusha hata sindano ndogo kuna kamera inarusha tukio hilo kwenye chumba cha security kutokana na hiyo hakuna mtu anaweza kuokota kisicho chake maeneo hayo.Ila ukiwa hujui utaumbika sana,kwani watu wangapi tena wakubwa waliwahi kuumbuka wakiiba super market,ATM,Sasa angeisahau pup,masoko ya discarded items,au mitaa yenye misongamano kama angeipata ,ajue wapigaji wapo tu,sio Asia,America,Europe,Africa na hata Australia wapo tu,
 
Hiyo hukupoteza, uliiacha Airport umeisahau na unakumbuka uliiacha wapi, kuppoteza ni kutokujuwa umeiacha wapi.

Kuna siku Dar Airport niliacha simu yangu ya BB kwenye mkanda wa mwisho wa kukagua kabla hujapanda ndege kule juu.

Nilipofika Schiphol Amsterdam, nnaitafuta siioni, nikakumbuka sijaichukuwa pale kwenye security check. Nikawafata KLM nikawaeleza, wakafanya mawasiliano, haijapita nusu saa wakanambia imeonekana tukuletee wapi kwa ndege yetu unayofata? Bahati kuna binti nnamfahamu anafanya kazi pale Emirates Airport nikawaambia wamkabidhi yeye, naam nikaikuta nyumbani Dar. Salama salmini.

Kuna kupoteza na kusahau.
 
Utunzi wako unalugha gani tena?
Usinichekeshe. na nikupe pole sana. Hii imetokea na ni ndugu yangu wa karibu tu kwa kuwa sio mimi binafsi siwezi kukutajia jina wala ofisi! Dhumuni langu ni kuonyesha tu watu wenye imani Tanzania bado wako! Mfano ni huyu Dreva wa Bajaji ambaye mind you hakuwa hata na pesa ya mafuta ( hence hana pesa) lakini alikuwa anastrugle si kuuza Laptop apate angalau milioni bali apate thousands ya kumrudishia Ndugu yangu laptop. Sikutaka kusema mengi ila muhusika alimpa pesa nyingi tu za shukrani kwani kwake it was not much about Laptop rather it was his contents ndani ya Laptop na kubwa zaidi ni credibility yake Ofisini.
 
Whatzup Nigg.... How z ma man Snoop doing there.. I gt some weeds for him man
 
Thank Jesus!
Nilikuwa nasafiri kutoka Phoenix Arizona kwenda Bakersfield California nikiwa airport nimekaa na laptop yangu nje ya begi lake. Baadae nikaondoka na begi ya komputa kumbe komputa yenyewe imebaki pale chini nilipokuwa nimeiweka.

Baada ya kufika katika jimbo la California nikiwa nyumbani kwa mwenyeji wangu, ndio nikasema ngoja nitoe laptop yangu niangalie emails kadhaa, kufungua begi la komputa hakukuwa na komputa ndani ya bag, ndipo nikakumbuka nitakuwa nimeiacha kule airport Arizona.

Namshukuru Mungu baada ya mawasiliano na watu wa airport ya Arizona waliniambia iliokotwa na kupelekwa kwenye "Lost and Found Department" na wakafanya mpango wa kuituma kutoka Arizona mpaka hapa California.

WAMENILETEA MPAKA MLANGONI! NIMEWAZA TU KWA SAUTI INGEKUWA IMEPOTELEA KWENYE VIWANJA VYETU VYA HUKO BONGO NINGEIPATA KWELI AU NDIO NINGEHESABU MAUMIVU??
Nilifikiri hapa nyumbani ningekupa hongera. Kwa huko si issue kihiivyo
 
Kama kaipata kupitia radio aseme ameandika?!au
Kazi ya kua "msemaji" wa member wa jf umeianza lini?
Msome alivyojitetea kwenye comment yake [HASHTAG]#108[/HASHTAG] Siku nyingine uache kiherehere na kukurupuka hovyo.
 
California U.S... naomba uende San Fransisco, uingie strip club like Lollipop, alafu nijuze umeona nn.. Sawa..? Usijikojolee lkn
 
Back
Top Bottom