Hainingii akili....yaani mtu aogope kuwasiliana na buzi lake kwa simu yake atumie simu ya mwengine tena mke wa mtu hata kama ni kweli ila huyu mkeo nae hajiheshimu atakubali vipi kumfichia uchafu shosti wake kwa kuiweka rehani ndoa yake........
mh! waite wote mkeo,rafiki yake na mumewe ukweli utajulikana, na kama kweli ni rafiki yae basi mkeo hakufai na yeye ana mchepuko wake bestito anamfichia.
mkuu Mentor long time no see aisee! umenithibitishia kweli kwenu wengi hadi mmepewa jezi zenye majina ili kutambuliwa! au ndo umekuwa mweusi hadi ukiingia gari lisilokuwa na tinted ghafla linakuwa na tinted tena ile presidential tinted!
Nipo wanajamvi, ni majukumu tu ndio yanabana.
Asanteni kwa ushauri, pamoja na changamoto zilizo chamgiwa. Na kwakua muhusika ni member wa jf, bilashaka amewapata vilivyo.
Mgirik, sijakimbia mkuu. majukumu ndio yamenibana.

aaah! Kumbe umerudi..... Nilikuwa nasema ni uongo kwasababu mtu yeyote aliiyejiua mwenyew au kuuwawa kwa namna yoyote ile vitu kama sim vinakiwa polis ili kusaidia upelelez. Sasa sijui ww ulikuwa polis kwa mda huo? Hebu ithibitishie jf ikuelewe vizr mkuu