Nilipopewa simu ya marehemu......

Makuabwa haya!!!!twasubiri umalizie hivyooo
 
lakini kama akiwa ni mkeo mwizi si amesha fariki so we una wasi wasi gani?!
 
Hahahaaaa nawe ulali tu shemejii mkuu aje kumalizia uhondo!!! mi nahisi uwepo wako ndo shida..

aah! Shemeji leo silali kabisa nazisaka usiku kucha mpaka nifute jina la shemeji nikuite wife ........... Si unakumbuka kuwa kwann nakuita shemeji?
 
amekataa kurud amesema nmemzodoa hvyo anaona aibu kuirud........

Ilo neno mtoto wakiume amelitumia (*kuzodoa *) ni neno lakike mtoa mada alekebisha aache maneno ya kwenye kanga
 
Hainingii akili....yaani mtu aogope kuwasiliana na buzi lake kwa simu yake atumie simu ya mwengine tena mke wa mtu hata kama ni kweli ila huyu mkeo nae hajiheshimu atakubali vipi kumfichia uchafu shosti wake kwa kuiweka rehani ndoa yake........

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jamani hii kitu si aangalie time hizo message zilikuwa zikitumwa, kama ni kazini au hapo nyumbani, na yeye alipojua amefariki alimfahamisha mkewe hapo hapo? Au ila hujasema alikimbilia home sababu aliona message imeingia au? Na mke alitakiwa awe home au kazini.

Ila mie nahisi mke anajua mume hawezi kwenda kuuliza.
 
Mtu akipewa sumu nadhani simu yake lazima ishikiliwe na polisi kwa uchunguzi. Or maybe I'm overly analytical. Ah!
 
mbona simpo tu..check time za sms, time ya mkeo anayo rudi na kuwa hoem unaijua
so mda huo atakuwa yupo mbali na friend wake , kama sms zinaonyesha time ambayo mkeo akiwa home or mbali na friend wake lakin bado sms zilikuwa zikijibiwa jiongeze
ila kama hiyo trick waliikwepa wew muite friend wa mkeo mzungumze hujue ukweli
 
Mh yy mke wako hakujua hawara yk amekufa mpk atume msg pia adabu gani ya kumpekuwa marehemu ?
 

Mkuu tukifanya hivi tamthiliya itakosa uhondo!
 
hapo hakuna kesi maana mtuhumiwa namba 1, amefariki dunia so hakuna ushahidi
 
Ila hata kwangu imekuwa ngumu kumesa hasa uliposema jamaa ndiye aliyepewa simu ya marehemu (2) mwanamke akacheka mpaka akagalala mmmh! sijui lkn kama ni kweli huyo mwanaume lazima ajingeze zaidi huo uongo wa mkewe ni wa kitoto sana .Mwanamke aliona ni bora asave ndoa ya rafiki yake nayake aitoe sadaka mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…