Niliponea chupuchupu baada ya kula limbwata lenye sumu

Pole sana,

Nimekaa usukumani miaka 3 hivi, wazee wa kisukuma wanasema ukirudi home kwa mkeo ukatengewa chakula, kama kuna mtoto wenu mdogo na huyo mkeo, muite mle wote, chakula kikiwa na magumashi lazima mkeo ataingilia kati kuzuia mtoto asile.

Kwa kifupi, usikubali kula peke yako, ingawa kwa mazingira yako hakukuwa na namna.
 
Nilikutana nae Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.

Wanaume tuna shida sana.

1. Unarogwa na ndugu mara unapoanza kuonekana unawashinda ki fedha.

2. Unarogwa na mkeo ili pesa zote umpe yeye na ndugu zake.

3. Unarogwa na mama mkwe usije ukamdhuru mtoto wake.

4. Unarogwa na majirani kama nyumba yako ni nzuri kuliko zao.

5. Huko makazini ndio usiseme. Ukiwa na ka cheo utarogwa na wote walio chini yako ili uwaangalie kwa jicho la pekee.

6. Misikitini ndio balaa, ukiwa imam habari yako utaipata.

7. Kwenye bar nako kila barmaid akienda kwa mganga anaambiwa ukitaka mambo yako yanyooke kamuwekee DECEIVER hii dawa kwenye supu yake ya kongoro au ukienda nae gesti hakikisha akipitiwa na kausingizi unamnyoa mavuiz kidogo hala uyalete tumtengeneze.

Ndio maana unakuta mwanamme yoyote aliye na zaidi ya miaka 50 amechanganyikiwa kwa kulishea uchafu.
 
Binadamu hawana shukrani. Miaka 6 iliyopita nlikutana na binti fulani wa kisukuma baada ku-wrong number kwangu nikamsaka tukaonana mitaa yao ndio nilikuwa na site yangu.

Baada ya hapo tukaingia kwenye mahusiano akanasa mimba, nikamwambia aitoe ikashindika ikabidi aende kwao Nzega akajifungua.

Ilipita mwaka bila kuonana mimi nilikuwa Tanga kikazi, baada ya kurudi Dar nikaamua nikamcheki mtoto nilipe nusu mahari nimchukue tuje tuanze maisha.

Nilifanikiwa baada ya kuonana na wazee wake nikaandika barua ya uchumba nikakubaliwa, mimi nikatangulia Dar baada ya 2 weeks nikatuma nauli akaja bongo tukaanza maisha.

Nilimjali sana kwa kila kitu kama mume, baada ya week 1 nikaanza kuona kama hayuko real kutwa anaongea familia yao kisukuma nikampotezea.

Wiki ya 2 akaaga anaenda kwa ndugu zake kusalimia, nikamruhusu ila machale yalinicheza nikamwambia mdogo wangu niliyekuwa naishi naye kama hiyo safari yake ya wema au ubaya tutajua tu.

Alivyorudi mchana sikuwepo, nikarudi usiku wa saa 2 nikakuta amelala chakula katenga kabisa kipo mezani, nikatilia shaka chakula cha pekee ako ila nikaomba Mungu nikakila. Baada ya masaa mawili tumbo likaanza kuvuruga mbaya nikajua ule msosi sio mzuri, nikamwambia mke lakini hakujali kabisa. Nikasitisha kula chochote hapo ndani nikaenda hospitali nikapatiwa dawa lakini sikupata nafuu.

Siku ya 9 bila mafanikio nakapata wazo la kumfanyia upekuzi mizigo yake yote aliyokuja nayo kwa ghafla, ikumbukwe siku zote hakujali kabisa hata kuniuliza hali na alikataa katakata kuwa ameniwekea sumu kwenye chakula.

Nikaamvizia saa 2 usiku nikamtaarifu nataka nikague mizigo yako yote nijiridhishe, wakuu alitoa macho makali ili anitishe nikaanza kutoa kitu kimoja baada kingine nikakuta mfuko mweusi upo kwenye nguo za mtoto una tunguli 13 zimefungwa kwenye vilailoni ndani kuna ungaunga kila rangi.

Nahisi alikuwa mwanga, nikazimwaga sebuleni nikamuita mdogo wangu akashuhudia nikapiga picha, baada ya hapo nikapiga simu kwao kuwajulisha kilichotokea ajabu hawakujali kabisa wakaanza kumtetea nikawaambia wampokee mtoto wao.

Kesho kulivyokucha mapema nikampeleka Ubungo nikampandisha basi nikafuta namba, nikamblock nikamtupa mazima.

Sasa hivi yupo Dar ana mimba ya jamaa mwingine na mtoto wangu ana 5yrs.

Mimi nilienda kutibiwa Tanga.

Wanaume tusikurupukie wanawake kisa umezaa naye, atakuondoa amiliki mjengo akae na ndugu zake au basha wake. Mwache awe single mother tu.
Aisee very interesting
 
POLE SANA, HUWA NAWAAMBIA VIJANA NYOKA HAZAI MBUZI AU SIMBA KUZAA SWALA, FAMILY BACKGROUND INA PLAY PART KUBWA SANA KATIKA RELATION DECISION, IT NEVER TOO EARLY OR LATE BUT MATOKEO YA KU-VIOLATE NATURE HUJA TARATIBU LAKINI KWA UHAKIKA ZAIDI, KUNA MAMBO YANAYOVUMILIKA KATIKA MAHUSIANO NA YASIYOVUMILIKA, HUWEZI ISHI NA MWANAMKE MCHAWI AU MWANAMME MLEVI KUTWA KULEWA NA KUTWA TUNGI UKITEGEMEA IKO SIKU ATA CHANGE, UKISHAFUNGUA YOUR THIRD EYE ONLY DEATH CAN SHUT IT DOWN.
 
Ahsante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana.

Wanaume tuna shida sana.

1. Unarogwa na ndugu mara unapoanza kuonekana unawashinda ki fedha.

2. Unarogwa na mkeo ili pesa zote umpe yeye na ndugu zake.

3. Unarogwa na mama mkwe usije ukamdhuru mtoto wake.

4. Unarogwa na majirani kama nyumba yako ni nzuri kuliko zao.

5. Huko makazini ndio usiseme. Ukiwa na ka cheo utarogwa na wote walio chini yako ili uwaangalie kwa jicho la pekee.

6. Misikitini ndio balaa, ukiwa imam habari yako utaipata.

7. Kwenye bar nako kila barmaid akienda kwa mganga anaambiwa ukitaka mambo yako yanyooke kamuwekee DECEIVER hii dawa kwenye supu yake ya kongoro au ukienda nae gesti hakikisha akipitiwa na kausingizi unamnyoa mavuiz kidogo hala uyalete tumtengeneze.

Ndio maana unakuta mwanamme yoyote aliye na zaidi ya miaka 50 amechanganyikiwa kwa kulishea uchafu.
hilo la kununyolewa du Haas haaa, sasa ukute una wanawake 4 tena kabila tofauti kweli lazima akili iyumbe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umetoa somo tosha, vijana oeni wasichana ambao mnafahamu background zao, hata kama wewe humfahamu lakini hakikisha kuna ndugu anayemfahamu, watu wengi wanapata mateso baada ya kuoa
 
Back
Top Bottom