Nilipokuwa mtoto mdogo nilitamani kuwa mtu uzima, ila sasa natamani kuwa mtoto mdogo!!

Nilipokuwa mtoto mdogo nilitamani kuwa mtu uzima, ila sasa natamani kuwa mtoto mdogo!!

Kina forever young na umri is just a number wanakuja.

Jitahidi tu kuongeza juhudi kutafuta pesa, ishi kulingana na kipato chako, kula kwa wakati punguza vyakula vya wanga na sukari na ukumbuke kufanya mazoezi.

Kuwa kama mzee Grahams anajivunia uzee wake, babu shikamoo!!
 
Back
Top Bottom