Asante mkuu, nimekumbuka enzi zile Kupiga picha mpaka sikukuu studio au mpiga picha apite mtaani
Ha ha ha ha ni noma sana.
Alaf picha unasubiri miezi mia nane mpak unasahau kama ulipiga picha.
Alaf kandambili ndo pigo lake ha ha ha.
Asante mkuu, nimekumbuka enzi zile Kupiga picha mpaka sikukuu studio au mpiga picha apite mtaani
Hahaha! mkuu umenikumbusha mbali sana isitoshe its my birthday Leo!
charminglady huyu sasa sjui tutamuitaje.leo tumezaliwa wengu eee. Mm, charminglady papag na wewe hapo leonardo da vinc
Of coz yes.am so happy today than any day yaniNi siku very unique to all over us!
Happy BD kamanda!
Ha ha ha ha ni noma sana.
Alaf picha unasubiri miezi mia nane mpak unasahau kama ulipiga picha.
Alaf kandambili ndo pigo lake ha ha ha.
Of coz yes.am so happy today than any day yani
Kuna shida kidogo kwenye neno la kwanza naamini ulimaanisha ITUNZE
Jamani tupo wengi, mwenyewe nimezaliwa siku kama ya leo, nimetafuna ugali zaidi ya miongo mitatu na usheee.!!
Happybirthday charminglady papag leonardo da vince na kan'tangaze
Msindike na cake basi View attachment 173249