Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

Pole sana..

Inaonesha sperm zako zinamfanya anawiri...au wamlisha vinono sana 😂. Pambana...
Ukisoma post zangu za nyuma utagundua nilipitia Rough patch, so when i met her, i did my best easy anything, lakini pia nadhani asili ya mwili anayo, maana mimi hata kama nikila vinono siwezi kunenepa.
 
You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Kwani traits hazibadiliki?

Me naona tupende tu bila conditions.

Japo hata mimi mwanaume mnene na mwembamba sana huwa siwapendi kabisa..... Yaani mwanaume akinitokea akiwa mnene hata aongee lugha gani, afanye nini? Simwelewi kabisa.
 
You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
But in reality, you fall in love with traits, and you're sexually attracted to the look (shape, color n.k). Wanaume tuko hivyo. Muonekano ndio inakuvutia kwanza na hulka/tabia ndio zinakufanya uendelee kudumu naye.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
But in reality, you fall in love with traits, and you're sexually attracted to the look (shape, color n.k). Wanaume tuko hivyo. Muonekano ndio inakuvutia kwanza, na hulka/tabia ndio zinakufanya uendelee kudumu naye.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Well but atleast unakuwa tagged with a kind heart! Hayo mengine yanakuwa ziada
 
Kwani traits hazibadiliki?

Me naona tupende tu bila conditions.

Japo hata mi mwanaume mnene na mwembamba sana huwa siwapendi kabisa.....yaani mwanaume akinitokea akiwa mnene hata aongee lugha gani, afanye nini? simwelewi kabisa.
Ni swala sahihi kabisa, mtu alieko true habadiliki but the fakerz ndio balaa!
Kuhusu wembamba na unene dah sina la kusemea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom