na wanapiga hela mbaya sisi tunaishia kusema ni wezi.huku kila siku tukikusanya fungu la kumi kwa wajanja viva milaKuna msemo niliusikia mahali unasema,mila inaua kuliko dini..na ndio maana wale ndugu zangu kule kasikazini kila mwisho wa mwaka wanaenda makwao kuendeleza mila ingawa wengi hudhani sababu ni sikukuu..pamoja na kwenda kwao makanisani na misikitini lakini bado wanajali mila zao.
unahisi dini imeindosha hivyo vita.au imeongeza matatizo maana afadhali zamani waligombea mali na madaraka kitu ambacho ni kawaida ya binaadamu kupigania umiliki je uliona zama vita vikahusisha kuwaua watoto wachanga na kuvamia sehemu ambayo haina wapambanaji.tuache masikhara dini ni kama govi hazina faida.Wewe ulisema watu wallishi kwa amani wakati kabla ya kuja waletaji dini,nakuonyesha jinsi watu walivyoishi,waliishi kivita vita,soma vizuri post yangu.
na dini zilizobora zinapiga kampeni sasa watu waume kwa waume na wake kwa wake waoane au kuhusiana kingono.hakika hapa babu zetu ndipo walipotea.Yes before colonial era tulikuwa na dini zetu,ancestors wetu walikuwa na dini zao lakini look what colonialist done...wakatuaminisha dini zetu ni za kishenzi,aibu na za kishetani,tukakubali wakatuletea dini zao za kistaarabu...
Ustaarabu huu ndio tunaoutumia kuona mtu wa imani fulani siyo ila wa imani hii ni shahihi na kwamba dini ile ndiyo itakayompeleka fulani peponi na hii itamfikisha yule jehanamu! Ni mtoro wa historia tu ama aliyezaliwa kipindi 'dini za kistaarabu' zilipokwisha waingia watu ndiye anasiyejua ukweli huu ama anaujua ila anaogopa kuonekana 'mshamba' kwa wenye dini zao!
Enzi zile za pre colonial era pamoja na explorers,wafanyabiashara,missionaries walikuwa miongoni wa waliofanikisha ukoloni wakiwa watangulizi.Walitumia dini kurubuni na kupumbaza watu ambao nao walikuwa mazuzu kwa kudhani wakienda against wanamkosea Mungu!
Kupitia dini tulitawaliwa kikoloni na kupitia dini tunaendelea kuvurugwa na kuvurugana sisi kwa sisi na nionavyo hawa mabwana baada ya sisi kufa na miili yetu kuharibika watakuja kwa namna nyingine wakitumia dini hizi hizi walizozileta wao! Let me remain Sceptist nitaujua tu ukweli mbele ya safari kama kuna maisha baada ya kifo!
angaweka mifumo tusingeuana kwa kusingizia hiyo mifumo.
tunauwana kwa sababu hutataki kufuata hiyo mifumo'kikamilifu,tumekatazwa kuua kiumbe chochote ila kwa haki.kwa mfano unaona nyoka anataka kukushambulia haki yako kujihami hata kama kwa kumuua huyo nyoka,huku kujihami ndo kunaitwa kulipa kisasi.kwenye vitabu vingine kuna mfano wa daudi na golieta,kwa mfano wewe usingependa wauliwe mama,baba,dada.mtoto,mke ,mume,au rafiki yako.sasa weewe jiulize kama wewe hupendi vipenzi vyako vidhurike je vya wenzio?maana ukimdhuru yoyote atakuwa mtoto,rafiki.mme.mke,mama au baba wa mtu,ndio maana nasema tukifuata mfumo alie uweka alietuleta dunia,amani inatawala.ukweli mwingi+uwongo kidogo=uwongo woteangaweka mifumo tusingeuana kwa kusingizia hiyo mifumo.
Sasa pana uhusiano gani kati ya mizimu Na mungu kwenye kuombaMkuu sijasema dini yangu haimjui Mungu. Usininukuu vibaya..
Hata dini yangu ya sili inamjua Mungu na ni yeye pekee ninayemuabudu kaara na matambiko ni njia tu ya kuweza kuwasiliana naye na ndio maana sisi tunamuita Mlungu kama wamasaai wanavyomuita Ngai.