Niliacha pombe baada ya kukutana na mwanamke mwenye kalio nusu

Ilikuwa siku ya ijumaa mida ya saa tano nikaingia kiwanja nikapate local beers mbili tatu akili ikawe sawa.Ghafla akaja mdada na jamaa yake wakakaa meza ile niliyotulia mimi,wakaanza vinywaji wakawa wanakunywa!!Kama mnavyojua mambo ya kunywa lazima kuwe na story mbili tatu plus makelele ya music.

Jamaa baada ya muda akainuka akaenda chooni, yule demu akanambia huyu sio bwana angu ni mshikaji tu nimekuja nae kupata kampani,nkashtuka!! Nikawa najiuliza mbona anaanza kujitetea kabla sijamuuliza chochote,nkampotezea.

Mwamba akarudi kwa kiti unywaji ukaendelea,punde si punde sintofahamu ikatokea kati yao walizinguana kuhusu kitu!!Jamaa akainuka demu nae akainuka akawa anamfata.Sasa yule demu alifunga sweta kiunoni huku amevaa jeans,nikajua ni swaga tu za wanawake wa mjini😁.

Yule manza akarudi mwenyewe ikawa imeonesha mwamba amemaindi amesepa zake😊,Basi ikabidi ahamishe majeshi kwangu ili apate kampani za story na mambo mengine!!pombe zikakolea,nkasema ya nn kuvunga mbona pisi hii makini tu sura inayo ,body yake si haba☺️.Mwaka nikachukua contacts nkamtext!!kumuuliza mshikaji wako vipi mbona harudi akasema aah yule ameshasepa😉,Nikasema yeeees mchongo si huu sasa!!baada ya kama lisaa na nusu hiyo saa tisa hapo nikamwambia mama unaonaje tukasepa mm.

nimechoka kukaa then nimelewa akasema poa!!Huyo nikambeba mpaka maghetoni nile utawala😃!!Picha likaanza kufika maghetoni manzi akatoa pakti ya sigara nikasema duuh😒.mara masigara yakatawala maghetoni baada ya hapo sasa nikamwambia kajimwagie maji kwanza!!Bhana bhana si aliondoa lile sweta kiunoni.

Naona kama mabonde bonde makalioni ,nikasema itakuwa tu labda nguo ilivyomkaa😎,Yalaaaabiii tobaaa alipovua jeanz yake tako upande wa kushoto limekatika😒pande kubwa la tako halipo,pombe ikanitoka kichwani nkasema nini tena hiki nimeleta humu ndani🙀,halaf huyo anatembea kwa kujiamini kwenda chooni kuoga!!

Nikapiga hesabu huyu mwanamke akitoka kuoga nmtoe vipi huku ndani mana akikaa mpaka asubuhi ntadhalilika🙌🏿.Alivyotoka kuoga nikamwambia mama sikia hatufanyi chochote kwanza,turudi pale kwenye unywaji mara moja nilimuagiza muhudumu vinywaji then anachenji yangu hebu twende mara moja.

Si akakubali akavaa ikawa ndo point ya ushindi.nikafika mpaka pale nikamshushia mlango wa mwanzo wa kuingilia,nikamwambia ingia nakuja naenda kupark ule upande wa parking!!Alivyozama tu nikazunguka ule upande kuna lami inatokea ya pili,nikachomoka speed mbaya sana,nikarudi ghetto nkazima simu😊😊toka siku hiyo pombe na mimi tumekeep a distance👋🏿Basi asubuhi nilivyowasha simu,Zilitumwa meseji kama 20 hivi!!OYAAA BIA SIO TAMU WALA NINI MAZEE
Kwa hiyo ukaacha utamu wa bia kwa sababu ya kukutana na tako moko?Acha uzembe!Unapitwa na mambo mengi sana.
 
Kuna mdada mtaani kwetu alipataga ajali gari ilimkokota kutoka kituo kimoja hadi kingine

Muda wote alikuwa anaburuzwa kwenye lami akiwa kichalichali kwahiyo aliumia Sana mgongoni na hasa kwenye tako ndio nyama nyingi zilitoka kutokana na hali yake hatukudhani km angepona alikaa hospital km mwaka hv
Kipindi hicho alikuwa sekondali
Sasa Ni mdada mkubwa tu

Kwahiyo hizo Ni ajali tu km zingine palikuwa hakuna haja ya kuja kumsema huku

Anyway hujafa hujaumbika
 
Wewe ndo ulikunywa nyingi halafu yeye akakosea kutembea kwa maringo yao yale akatembea kama anapiga picha ya kubinua. Umeona sasa ndo mambo yakawa hivo
 
Back
Top Bottom