Nilipigwa na kufukuzwa Msibani

Nilipigwa na kufukuzwa Msibani

ghafla wazee wa mila wakasema huyo kijana akamatwe na apigwe. Nilipigwa nilipigwa jamani nilipigwa na nikaondolewa pale bila kula licha ya kufanya maandalizi ya msiba na usafi. [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
nyama zilikuponza punguza uroho
mbaya wako aliyezima mziki
aliitaka maongezi yako yasikike vizur
pole
 
Hahahaa yaan huyu jamaa ana masihara sana. Et wakarud nyumbani kusubiria msiba utokee

Sent using Jamii Forums mobile app
"Majira ya saa 11 asubuhi akaja kiongozi wa vijana nyumbani akanigongea na kusema msiba tayari twendeni,"
😀😀😀😀😀😀
Sasa sielewi sijui walimpa sumu ya kumuua taratibu?
 
"Majira ya saa 11 asubuhi akaja kiongozi wa vijana nyumbani akanigongea na kusema msiba tayari twendeni,"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa sielewi sijui walimpa sumu ya kumuua taratibu?
Af itakua walimuua hao, wale nyama. Af nyama yenyewe akaikosa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyama inaweza kutoa roho pole sana
 
Back
Top Bottom